Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Ndugu Wana JF, Napenda kuwafahamisha kuwa mimi ni mjasiliamali nipo huku Hong Kong na Japan, na nina deal na magari pamoja na electronics, kuna gari aina ya RANGE ROVER HSE inauzwa bei poa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Carat-limited, maroon, automatic, 2 airbags, Price 7.5mil. 0717114409
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Ndugu wana JF, Kuna nyumba yangu ipo kimara kilungule karibu na uwanjani. unaweza kushukia korogwe au kimara mwisho ukipenda. nyumba ina vyumba vitatu, sitting room, choo na bafu, na jiko. nyumba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna biashara ya kuuza blackberry 9500,dola 400,bulk order inatakiwa,si chini ya simu 10.ukinunua quantity hiyo,tunaweza ku bargain.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA MTU YEYOTE ANAYEHITAJI MBWA (PUPPIES) WA KUFUGA/ULINZI MBWA HAO WAPO MAENEO YA SINZA. Information: Breed: GERMAN SHEPHERD Colour: Brown/Black Sex: Male & Female available (few...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, mwenye ka laptop kenye average specs,na moderate speed kwenye internet,used of course BUT NOT DEFECTIVE,nanunua kwa 500,000. Niliipata kwa bei poa zaidi tofauti nitachangia kwenye JF. Iwe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani ninatafuta toyota collora wadau,iwe na sifa zifuatazo:- 1.iwe ni 110 au 111 ya atleast mwaka 1999 na kuendelea. 2.kama ni used iwe angalau imeingia nchini mwezi wa 5 mwaka huu. 3.iwe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
A/alaykum kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua ice cream machine ninazo 3 kutoka uk model taylor manufacture usa ninazo katika godown langu zanzibar pamoja na gari kabila gulf vw kwa maelezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba ya vyumba viwili self contained,sebule,jiko zinzhitajika maeneo ya Bwiru,Kirumba,Nyamagana,Nyegezi,maeneo ya CBE Mwanza na viwanja na mashamba vinahitajika pia maeneo ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
........
0 Reactions
15 Replies
2K Views
NYUMBA NA KIWANJA CHENYE UKUBWA WA EKA 1 VINAUZWA MAENEO YA MBEZI BEACH KARIBU NA SHULE YA GREEN ACRE . ENEO LINA USALAMA WA KUTOSHA. KWA WANAOHITAJI NITUMIE EMAIL UNITAJIE NAMBA YAKO YA SIMU...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
VIWANJA VIWANJA vipo MBEZI makabe/msakuzi vimepimwa . Bei 20x20 1.5m, 22x20 1.8m, 25x20 2m. Hakuna udalali (kwa taarifa zaidi piga: 0715 05 55 77 or 0769 05 55 77)
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I'm looking for a Cisco serial cable CAB-530MT, new/used any Jamii member who have or can assist wea to get it i will appreciate, zungu.business@gmail.com Thenki yu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa anayejua, anisaidie (One-Way) fares za precission air toka miji ya; Dar - Zbar Zbar - Arusha Arusha - Dar ...Wanayo website lakini haijakamilika, Natanguliza shukrani.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwaniaba ya rafiki yangu,anatafuta nyumba ya kununua dar maeneo ya kimara,tabata,chan'gombe etc bajeti yake sh mil 30,iwe kubwa na nzuri,pia iwe na nafasi kiasi ,isiwe uswahilini, matengenezo yawe...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
NAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA FOS KESHO JUMAMOSI TAREHE 25 MAHALI : LANDMARK HOTEL UBUNGO MUDA : KUANZIA SAA 10 JIONI KWA MAWASILIANO ZAIDI UKIFIKA PIGA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja wa nchini Hispania alimchinja mkewe na kukiweka kichwa chake kwenye begi na kwenda nacho baa kunywa pombe huku akiwatambia marafiki zake kuwa amemchinja mkewe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
bei 5.5 milion, mazungumzo yapo, inatembea na iko katika hali nzuri, mawasiliano kwa atakayelihitaji, 0654633109, 0754632291, 0686716761
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Brand new Hyundai excavator available for hire, kwa atakaelihitaji mawasiliano ni 0654633109, 0754632291, 0686716761
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa ya Msiba. Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh, Ndugu wapenzi, marafiki na member wa JF, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa Baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31...
0 Reactions
142 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…