Bandugu, Naomba ushauri: Ninataka kununua gari kutoka Japan mwenye uzoefu wa magari naomba anipe kaushauri kidogo, nilipe nisilipe?
Details:
Car type: Mazda Tribute
Model code: TA-EPEW...
Wana FOS wote,
Napenda kuwataarifu wote kuwa tunapendekeza kufanya kikao cha wana FOS wote siku ya Iddi Pili (Kwa maana hiyo itategema na muandamo wa mwezi, lakini ni Iddi Pili, hivyo Iddi...
Ndugu wanajamii, napenda kuwashirikisha kumbukumbu ya miaka 11 tangu marehemu baba yangu alipoaga dunia. Ilikuwa ghafla sana, bila kuugua, bila kusema neno la mwisho alipokuwa safarini. Uchunguzi...
[B]Kiwanja Kipo Madale Karibu na Kwa Kawawa kinafikika kwa barabara na kimezungushiwa michongoma bei yake ni milion 6 kuna maelewano na Hakuna Dalali.
Piga Simu 0715696920/0787585860/0786670121...
WATCH OUT!
URGENT!!! PLEASE CIRCULATE to your friends, family and contacts.
SENT AS RECEIVED.
In the coming days, DO NOT open any message with an attachment called:
BLACK MUSLIM IN THE WHITE...
Wadau, nahitaji mahali pa kufanyia biashara ya mgahawa jijini Dar. Pawe sehemu ya kuandalia chakula (jiko), sehemu ya kulia chakula pamoja na maliwato. Mwenye taarifa aniPM tafadhali.
Spanish CD has 14 books plus dictionary 15,000 Tshs
Arabic, Italian, French, Portuguese, German and Russian CDs has more than 3books 10,000 Tshs
Other languages such as Swahili...
Dear esteem friends;
Thank you for your support and posting your classifieds on Kijijibay!!!.
Attached please find a soft copy of our latest Classified Newsletter that lists items available for...
Ni walewale wauzaji wa asali mbichi kutoka lumbe tabora, sasa wanakuletea mafuta safi ya alizeti kutoka singida. Yanapatikana hapahapa dar es slaam kwa bei nafuu kabisa ukilinganisha na ubora...
Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie:
James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe.
Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara.
Mohamed Dewji - Mbunge wa...
Naomba msaada kama kuna mwanajamii yeyote anayejua mahali/benki wanapokubali kubadilisha US Dollar za mwaka 1999. Kila duka na benki nayoenda wanasema hawabadilishi za 19xx.
Wana JF, kuna mtu yeyote anafahamu gharama za malipo ya gari (used) baada ya kufika bandarini. Mfano umeagiza used car kutoka Japan ikiwa imekwisha kulipiwa gharama za usafirishaji (freight cost)...
Iwe maeneo ya Mbezi Beach. Iwe na tittle deed.Budget USD 90,000.
Inahitajika haraka sana. Mwenyewe anayo tuwasiliane kupitia 0717114409 au 0755312233 au tuma maelezo na picha katika email address...
Ipo maeneo ya buguruni,,ni mizuri sana,,bei nafuu na ipo ya kutosha,,wale wenye kuporomosha magorofa na wenye kujenga nyumba za kawaida,karibuni sana.
Namba ya simu ni 0713327429.
Asanteni sana.