Wanajamii mnisaidie hapa mie na my wife wangu tunatarajia kupata mtoto miezi 7 ijayo,
sasa twawaomba sana wenye kujua ni jinsi gani ya kupredict ni mtoto wa jinsia gani atapatikana
msaada...
Mwenye gari ya kuuza kwa kadri ya ufafanuzi ufuatao, tuwasiliane kwa exav@live.com au hapahapa jamvini.
Toyota Rav 4
engine size ≤ 2000cc
2000 model
Mileage ≤...
Kwa huduma ya usafirishaji mizigo ya aina yoyote ndani na nje ya Tanzania, tunasafirisha mizigo kwa gharama nafuu na uangalizi wa hali ya juu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba hizi...
for all your seafreight,air freight, forwarding and logistics solutions, please contact ELBURLIZ HOLDINGS LTD,your one stop shop for all your needs. We advise accordingly and deliver on time...
timu za africa kuboronga kombe la dunia ni ishara ya uwezo wetu sisi waafrika kuishia hapo au tunahitaji muda zaidi kufikia kiwango cha juu na kupata matokeo mazuri?
Anzisha biashara ya kukamua mafuta kwa kutumia mashine isiyotumia umeme hata kidogo. Mashine inap9atikana kwa bei ya tshs 320,000 tu piga simu 0783555439 au 0717498932
VILIO na simanzi jana vilitanda katika viwanja vya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam wakati wa kuaga mwili wa Msanifu kurasa wa za magazeti ya Kampuni ya Mwananchi...
WanaJF naomba Msaada wenu
Nataka kuzunguka kwenye show room za DAr es salaam kutafuta GX100 au GX110 ambayo iko katika hali nzuri less 90000km year 2000
Ni show room gani wana gari za uakika...
A'aleykum
hellow guys.
Kuna rafiki yangu mmoja anashughulika na mambo ya madini ameniombe nimwekee ad yake hapa.
Anatafuta mwekezaji, share holder au mteja wa madini yafuatayo
- gold
-...
WADAU NATUMIA FURSA HII KUWAALIKENI KATIKA JOINT YA AINA YAKE KUFUNGULIWA DSM
NI JOINT AMBAYO INATUFAA WASTAARABU KAMA SIE KUKAA NA KUPATA LIGHT MEALS, BEVERAGES NA KU-CHILL WITH FRIENDS AT...
EVAG Consulting Firm (T) Ltd is a Tanzania based company which was established and was registered under the Tanzania company act 2002 with registration no 73210 with the aim of helping the general...
Dear JF people,
Blackberry Bold 9700- 875,000Tshs each (10 pcs )
Blackberry 8520- 700,000Tshs each (3 pcs)
NOKIA 5800 XPRESS MUSIC-300,000Tshs (5 pcs)
They all must go,please PM me for your offer...
Na Mashaka Mgeta
14th June 2010
Latupa lawama kwa Jeshi la Polisi
Kanisa Katoliki limesema kwamba limechoshwa kuzika waumini wake wanaouawa na majambazi ambao...
Nyumba ya vyumba vitatu, kimoja ni master bedroom, ina choo cha ndani, bafu, jiko la ndani, sebule ya ndani, dinning room na store, ina ukuta ila haina geti, gari ndogo inaweza kupaki, nyuma kuna...
Nauza mashine ya kutengenezea mshumaa, ina uwezo wa kutoa mishumaa 12 kwa mkupuo ipo katika hali 39nzuri sana. Bei ni tshs 420,000/= piga namba 0717498932 au 0783555439
Monday, 14 June 2010 21:00
UMOJA wa Wamiliki wa Maroli na Waagizaji wa Mafuta (Tatoa), umesema kuwa serikali inapoteza zaidi ya Sh25 bilioni kila mwezi kutokana na tatizo la...
HABARI!
NAHITAJI CHUMBA AU MASTA, SEBULE NA JIKO MAENEO YA KINONDONI (Kanisani, B, Manyanya, Mkwajuni au Hananasif) kuanzia leo mpaka 15/7.
Kusiwe na wapangaji zaidi ya mmoja na ikiwezekana...
HABARI WANA JAMVI!
NAMTAFUTA BABA YANGU MZAZI ANAITWA AUGUSTINE JOHN CHUWA a.k.a MUKI
MARA YA MWISHO TULIONANA 1999 KWENYE MSIBA WA BABU YANGU MOSHI!
ALIKUA ANAISHI DAR WAKATI HUO NA KUFANYA...