Wanajamii naomba nisaidiwe na nichukue fursa hii kwa kuwafahamisha wanajamii wenzangu kuhusiana na makato ya kila mwezi kwa hawa jamaa wanaojiita NSSF, kwa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa...
We supply full system computers(Dell) to schools,colleges,universities and other individuals in Tanzania just for 400,000/=.
We can deliver your computers anywhere in Tanzania.
"Spend less for...
Hi,
This is Jene from China. We are specialized in supplying:
Gasoline Engine
Diesel Engine
Generator
Pump
Tiller
We'd like to find a partner for a long term business relationship, if you are...
Wanne wauawa Dar, Polisi waua wawili
Yumo anayedaiwa kuiba mpunga.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi na polisi kuua...
Adonia Eliasante aka Ardorado
Namtafuta huyu mdau anasadikika kuwa anaishi maeneo ya nje ya jiji la chikago, IL. Ninaujumbe wako muhimu. Mwenye details zake naomba anipm.
Wadau wa JF namtafuta rafiki yangu wa siku nyingi anayeitwa Salehe Juma Mpinga. Tulimaliza Shule ya Msingi pamoja pale Uwanjani P/ School ( Kawawa P/ School) kule Kigogo- Luhanga kwa Binti Kahenga...
Wadaiwa walikuwa ni majambazi
Aua shemeji yake kwa deni la 1,500/-
Mwingine aua kwa wivu wa mapenzi
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Advocate Nyombi...
Jamani naomba nisaidiwe kama kuna mtu yeyote anaweza nisaidia nipateje Chumba cha kufanyia
Biashara yoyote ndogo na mpya kwa Mbeya.Si lazima sana iwe City center lakini eneo lililokaribu na...
We supply full system computers(Dell) to schools,colleges,universities and other individuals in Tanzania just for 400,000/=.
We can deliver your computers anywhere in Tanzania.
"Spend less for...
Alitumwa kutafuta kuni wakamvamia
Mtoto mwenye umri wa miaka saba, Kurwa Musa, mkazi wa Mwasele A katika Manispaa ya Shinyanga, amekufa baada ya kushambuliwa na mbwa watano, wakati...
Wapendwa wana JF nawatangazia msiba wa mdogo wangu aishie Dar. Alivamiwa na majambazi jana usiku mida ya saa 3 hivi. Walimpiga risasi sita na kufariki papo hapo. Mipango ya mazishi ni pale 92...
Kwa kuanzia kuna mdau Icadon kaandaa ya kwake...
Tunahitaji tangazo ambalo litakuwa la kipekee kwa ajili ya kuweka kwenye Bilboards za Tanzania na Tv Screens.
Angalia alichoandaa mwenzetu:
JF...
Wenzangu wa kijijibay, please read below the updates from our site:
Dear friends;
This months marks the 2nd month since the launch of kijijibay. Thank you for your support and posting your...
Jamani naombeni msaada wenu wa hali na mali, ni nahitaji nyumba ya haraka iwezekanavyo ndani ya wiki hii. Iwe maeneo ya sinza ,kijitonyama,mwenge ,mbezi beach tegeta ubungo.. Iwe na vyumba viwili...
MJI wa Arusha mwishoni mwa wiki ulizizima baada ya kutokea habari za kifo cha kutatanisha cha mkazi wa Levolosi, Omari Salim, 44, aliyefariki dunia wakati akipelekwa Hosptali ya Mt Meru baada...
NA MOHAMMED ISSA
SERIKALI inatarajia kutumia sh. bilioni 15 kuwalipa fidia wananchi watakaoathiriwa na ujenzi wa barabara ya Jangwani-Kigogo hadi Ubungo Maziwa. Barabara hiyo itajengwa kwa...