Habari wana JF. Natafuta mashine ya kukoboa na kusaga inayotumia diesel kwani nataka kupeleka kijijini ambako umeme haupo na watu wanatembea umbali mrefu kwenda kupata huduma hiyo.
Mwenye idea...
1. Toyota Rav 4 manual model ya 1995 silver milango mitano. Bei 5.5mil.
Wai usichelewe.
kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia simu na 0717114409 au 0755312233 au 0784225000
ciyt centre Dar es Salaam along Sokoine Drive. 3 Bedrooms.The apartment is situated behind kilimanjaro Hotel. Renting for USD 1000 per month payable annually. For more information contact Mr...
Kipo Makongo Juu. Kina ukubwa wa heka mbili. kimepimwa kina makaratasi safi. Bei shs 230mil. karibu ujionee. kwa maelezo ya ziada piga simu na 0717114409 au 0784225000
International Conference
THEME
'Peace - the solution for humanity'
Conference Theme
Peace, internal and external be it on an 'individual' or at a 'worldwide collective' level is a...
Habarini za majukumu wakuu wa JF, mimi ni mmjasiriamali tarajali ambae najitahidi kukabiliana na hii kasi ya ukuaji wa gharama za maisha kwa kujitafutia senti za ziada kwa kila njia niwezayo...
Baada ya kui-miss bongo km miaka 2 hivi, sasa narud ndani ya wiki moja au 2 hivi.
Naomba ushauri nikija ni2mie mtandao gani wa simu yaan voda, tigo, zain nk. Nataka huduma reliable na bei cheap...
Gold deposits situated in the lake famous lake Victoria goldfields in Geita District of Mwanza region, northern Tanzania, East Africa are for sale. The deposits covers 104.65 sqm acres. Terms and...
WATU wasiofahamika, wamembaka mwanafunzi wa darasa la tano na kutupa maiti yake katika kisima chama maji.
Kaimu Kamanda wa Polisi, mkoa wa Tabora, Anthony Ruta, amewaeleza waandishi wa habari...
Mtoto wa afisa usalama wa taifa aishiye Mikumi Morogoro aliyekuwa akiendelea na mtihani wa kumaliza kidato cha nne unaoendelea kwa nchi nzima,amegongwa na gari wakati akiendesha pikipiki leo muda...
IRA General enterprises we are registered Civil and Building contractors,we execute construction projects at cheap rates with high quality call us;0784876210.We also undertake renovations of...
Hivi kwanini wajamaa wengi wanaotengeneza/kuuza samani za ndani hawana website,mpaka uwatafute? ni gharama au mazoea.. wateja watakuja tuu.... wachache hawaweki bei inakuaje hii