Hi,
Natafuta walimu wa masomo ya Computer. Topic zenyewe ninazohitaji pata ufahamu zaidi ni LAMP (Kwa ajili ya web based Database)
yaani:
Linux
Apache
MySQL
PHP
Kama kuna...
Nataka kuagiza gari kwa njia ya mtandao je mtandao gani ni salama?
Je kuna mtu ameshawahii kuagiza kupitia mitandao hii,naomba msaada wenu
Je www.tradecarview.com na www.japantradecar.com...
The 2nd Tanzania Automotive Festival 2009 builds on the success of the inaugural event last year. This year's show promises to be a comprehensive show that includes exhibits in the passenger cars...
Jamani naomba kujua kama kuna mtu anaejua kuwa namba inayoanza na code +177 ni ya nchi gani? maana kuna namba huwa inanibeep mara kwa mara, na nikiipiga inaiambia no connection. Kwa anayejua...
Nimeleta kama tangazo ,lakini ni kero ambayo,mimi mtanzania mzalendo ninayo-mbona kuna wahamiahaji haramu wengi sana hapa Tanzania,tofauti na majirani zetu k.m Kenya,DRC nk.Wapo tu na wanafanya...
Waungwana nataka kuagiza hii Suzuki ya 1994:
http://www.tradecarview.com/used_car/japan%20car/suzuki/jimny/814099/
Year / Month: 1994
Odometer: 18,000 km
Displacement: 650 cc
Bei yake ni...
Mama afariki, mtoto aokolewa
Mwanamke mmoja amefariki dunia Jijini Dar es Salaam baada ya kunywa sumu ya panya ambayo pia alimnyesha mwanae mwenye umri wa miaka sita.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi...
Hi guys,
Iam about to launch a weekly advertisement paper in Dar and for now Iam looking for a graphic designer and marketing department people who will be sales representatives to look for Ads...
toyota nadia ya mwaka 2000 silver
CC 1980
odo 110,000km
3s engine not d4
options
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / A/C:front / Power Steering / AM/FM Radio /...
Mabomu ya Machozi yaani mabomu ya GAS 2-chlorobenzalmalononitrile yanatengenezwa kutokana na Chemicals ambazo wengi wanaamini hazina madhara makubwa kiafya- Lakini utafiti unasema kuwa huleta...
Kuna habari ambazo bado ninazifuatilia kuwa kuna mtanzania amekutwa amekufa ndani ya nyumba yake baada ya Polisi kuvunja mlango. Ninajaribu kufuatilia kupata habari kamili.
IMESHAUZWA - ASANTENI WADAU
toyota nadia ya mwaka 2001
CC 2000
odo 100,000km
3s engine na sio D4
ina wiki moja toka iingie kutoka japan.
OPTIONS
Anti-Lock Brakes / Driver...
Ni kweli, ghrama ya pasipoti imepanda kutokana na budget mpya ya june 2009??Formu ya kwanza ilikuwa 10.000tsh na wakati kupata ilibaki kama 40.000tsh. hii ndiyo iliviyo mimi nilijua lakini sasa...
Mauaji ya albino bado yanaendelea
Tangu BBC ilipofichua kwamba waganga wa kienyeji au wa jadi ndio wanaochochea mauaji hayo Julai 21 mwaka jana idadi ya watu waliouawa imeongezeka toka watu 27...
</SPAN>
Stephanie alivyo sasa na sikio lake lililonyofolewa kulia
Friday, September 25, 2009 8:01 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Ujerumani mwenye wivu wa ajabu baada ya mpenzi wake kuamua kuvunja...