Nafurahi kuwatangazia kuwa Baloon Cresta, 4 Cylinder iko katika hali nzuri, inatumika kuendea ofisini na kurudi. Inatumiwa na my wife kwa matumizi ya nyumbani tu.
Matairi yote ni mapya.
Bei...
Wakubwa, natafuta sliding windows za ama aluminium au UPVC. Mwenye nazo ani-pm, au nitumie email kwenye mutensa@live.co.uk, nifahamishe
1. Bei kwa square metre
2. Kama una variable colour za...
Dear Colleagues,
You are cordially invited to participate in the inaugural convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) to be held in Houston, Texas, USA from October 1st...
Friends....
Incase any body wants to let an office space at Dar city centre...i have an office space ideal for office or related business....location is along Sophia Kawawa street near Nkrumah...
Lori la Mizigo Lapinduka Tanga, 3 Wafariki, 7 Wajeruhiwa
Thursday, September 24, 2009 10:21 AM
WATU watatu wamekufa papo hapo na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya lori la mizigo walilokuwa...
Shamba linauzwa, lina ukubwa wa ekari moja. lipo katika kijiji cha kinzudi, unapita tegeta salasala. linafikika kwa bara bara, umeme upo jirani (unahitaji nguzo moja tu).
ni muwafaka kwa ujenzi...
Naomba nichukue fursa hii kuomba msaada kufahamishwa kuhusu ushuru wa kutoa gari bandarini. Je kuna unafuu wowote wa kodi kwa mwanafunzi wa kitanzania aliyekuwa masomoni ng'ambo anapotaka kuingiza...
SORRY! PRODUCTS SOLD OUT!!!!
YOU CAN PLACE YOUR ORDER IN ADVANCE FOR THE NEXT DELIVERY !!
PLEASE ALLOW TWO TO THREE WEEKS FOR THE COMMING DELIVERY.!!
FOR ALL YOUR ENQUIRIES CONTACT 0713846454...
TOYOTA HIACE 1992. bei 6.9m open to bargain.
Engine 2L diesel.
Imesajiliwa Dar na ina route Number.
Ipo kwenye hali nzuri sana-ex school min-bus.
BEI ni 6,900,000 Inapungua kidogo.
Piga simu...
ndugu wadau, ninahitaji projector ya kkutumia kwenye chumba cha wastani-watu mia moja, matumizi angalau masaa nane kwa siku. nahitaji maelezo ya kina kuhusu aina na ubora wa projector...pia bei...
Automatic/
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Wiper / A/C:front / Power Steering / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors / No accidents/...
Wapendwa,
Nauza kiwanja. Kipo Mbezi (loius) kwa Msuguri kilometa 2.5 hivi kutoka main road. Kina slop na ni kizuri sana, maana utapata upepo mwanana ukijenga pale. Kama nusu kilometer kutoka hapo...
MBUNGE wa Ruangwa mkoani Lindi, Sigfrid Ngitu (CCM), amefanyiwa operesheni ya kichwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Mbunge huyo amelazwa katika Taasisi ya Mifupa ya...
Wanajamvi nitashukuru kama mtanisaidia nipate contact za kijana anaitwa Musa Mohamed ni mwanafunzi sekondari ya Gongo la Mboto form one. Nimeona picha yake Ipp Media site leo.
Wanajamii natafuta kitabu kimoja kizuri na detaild cha historia tulikuwa tukikisoma zamani sana mashuleni.
Kitabu hicho kinaitwa a Short History of Tanzania na Kimetungwa na Mwanahistoria nguli...
Dear Colleagues:
We are glad to inform you that www.dicotaus.org; the website for the Inaugural Convention of the Diaspora Council of Tanzanians in America [DICOTA] is now LIVE.
Please accept...
Habari za saa hizi wana JF!
Najua kuna aina nyingi za rangi kiasi kwamba nikienda dukani nikaomba nipewe rangi ya nyumba (I.e. Ukutani na kwa ajili ya bati) nawezajikuta ninaishia kupata rangi...
Shamba la hekari mbili, lipo Chanika Sungusia karibu na DIDAS Secondari, lina nyumba ya bati ya vyumba viwili na sebure, kisima, lina mimea...matunda. Barabara ipo mpaka shambani. Bei 12milion...