Inaonekana leo [tar 19/8/2009] tIGO imechoka na mitambo yake imegoma kutoa sauti... watu hawasikilizani na sometimes simu haziiti kabisa. ni tatizo la zaidi ya masaa sita na wale watumiaji wa...
Je! unatafuta gari linalouzwa Tanzania au una gari unalohitaji kuliuza lakini haujui umuuzie nani? USIHANGAIKE, wasiliana nami kupitia hii namba. 0717114409
Suzuki Grand Vitara for sale. 2000model, 3doors, manual transmission, petrol, 1995cc,x- Great Britain(North Island), first registered in 13/03/2009. GV 2000. Silver, km 61234, well maintained...
automatic, 1KZ ingine, 4x4, metalic blue, 5doors, very good shape, diesel, sun-roof, side steps, front bar, fog lamps, odometer 85764, Price 20mil Negotiable 0717 114 409
HABARI WADAU,
TUNAANZA KUTOA REVIEW CLASSES KWA WANAFUNZI WANAOSOMA OPEN UNIVERSITY(UNDERGRADUATE) WENYE MAKAZI MIKOA YA KANDAYA ZIWA.TUKO LOCATED MWANZA.KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU GHARAMA NA...
PRICE 7,800,000 a bit negotiatable
TOYOTA HIACE 1992.
ENGINE-2L DIESEL
COLOUR WHITE
EX-SHOOL MINI-BUS
Fully registered,its original route number still valid for commuter Business.
IT IS IN DAR...
Frame za biashara kubwa zinapangishwa kimara mwisho ukifika mwisho kunja kulia kama unaelekea uwanja wa tanesco...ukikaribia kwa karibu na darajani.....zimekamilika umeme unaingia wiki ijayo ziko...
Waheshimiwa wana wa nchi napenda kuwajuza kuwa sherehe za kumbu kumbu ya kuanzishwa kwa UVCCM na kutimiza miaka 31 zitafanyika tabora mwishoni mwa mwezi ujao na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa JK...
Mlango mmoja unafaa kwa ofisi,cafe au duka; ukubwa wake ni futi 18 x 12,ipo karibu na barabara ya dunga (njia ya kwenda kinondoni biafra) tuwasiliane 022 2760425 kwa maelezo zaidi
If you wish to sale or rent Townhouses, apartments,commercial plots, showrooms, offices, farms, bungalows, beach plots, warehouses, in Dar es Salaam, Please contact this no. 0717114409.
Ipo Kitunda. Ni self contained ya vyumba vitatu kimoja wapo kikiwa masta. In sebure kubwa, dinning kubwa, jiko. Ni nyumba mpya. Inauzwa sh 50mil. Mazungumzo yapo, na pesa ruksa kulipa kwa awamu...
CHANGE OF PRICE!
habari za mchana huu wana JF,
natafuta wateja wa laptops, ninazo laptops 3 mpya kabisa, 2 ni compaq na moja ni LENOVO.
zifuatazo ni specification zake,
1.compaq presario cq60...
Natafuta mtaalamu wa ku-design na kutengeneza garden za nyumba. Kama una utaalamu huo nirushie contacts zako kwa PM. Pia unaweza kupost hapa kwa manufaa ya wanaJF wengine wenye kuhitaji huduma...
Nilimtumia jamaa'ngu laptop kwa njia ya express lakini haikufika bongo kwa wakati unaotakiwa na nikatuma nyingine. Kwa bahati zote zimefika na jamaa ana laptop mbili.
Mimi sio mfanya biashara na...
Kartika Sari Dewi Shukarno Monday, August 24, 2009 5:29 PM
Adhabu ya kuchapwa bakora sita iliyokuwa ikimkabili mrembo wa vivazi wa Malaysia ambaye alikamatwa akinywa pombe hadharani imeahirishwa...
Nanunua used computers za specifications zote, except p2 na bellow oc! nipe aina ulizonazo, kisha shindana bei na wauzaji wengine..nikiridhika na bei zako tunafanya biashara. tamilaggk@gmail.com
Kwa wale wanaohitaji viwanja, kuna kiwanja/shamba la ukubwa wa hekari tatu kasoro linauzwa. Eneo hilo liko Kifuru (ukivuka segerea) ni eneo zuri kwa ajili ya shamba au makazi maana mji unapanuka...