Naleta swali la ndugu yangu ambaye ni
mwajiriwa miezi miwili sasa! mshahara wake ni
laki sita na hamsini na ushee hela za kitanzania!
anataka kuomba mkopo wa milioni 10 benki
yoyote japokuwa...
Hello brothers n’ sisters!
Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils.
Perfumes...
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri...
Kwa wenye mikweche kama mimi wenye kuweka lita mojamoja nawashauri mtakapoona mafuta kwenye petrol station popote tafadhali weka mafuta ya kutosha maana vituo vyote tayari wameishaanza kugomea...
TUNAUZA PIKIPIKI MPYA ZA KICHINA, AINA YA OMOTTO INA ENGINE KUBWA YA 150 CC, INA SELF START, KITI KIREFU CHA KUKAA WATU WAWILI, INABEBA MZIGO WA KILO 200. ZINAFAA KWA BODABODA NA KZAI NGUMU...
Tunatengeneza Mabango Ya Kila Design Na Tunakufikia Popote Pale Ulipo Waweza Tembelea Kurasa Yetu Instagram (HD_signage_mabango) Uone Kazi Zetu
Ofisi Zetu Zipo Sinza Mori Karibuni Saana +255759117175
Soma kitabu hiki kuongeza maarifa na kipato zaidi 'WEWE NI TAJIRI: UMASIKINI UNAUTAKA MWENYEWE' kutoka CALIPA - CAS Life Purpose Academy
Unajali Mafanikio yako, ya Mwanao au Ndugu yako Katika...
Nimekua nikifikilia sana juu ya biashara ya dagaa ambayo nimehisi ni biashara ambayo inalipa
Kabla .ya kufanya chochote napenda kupata ushauri kutoka kwenu wakuu ukiwa mkoani Kigoma dagaa wa...
Camera iko katika hali Nzuri, imetumiaka wiki mbili tu kwenye Project.
Niliagiza kwa ajili ya project, now nimemaliza.
Ni camera nzuri sana hasa kwa Advanced Cinematographers & Photographers...
Kuna jamaa aliweka tangazo kuwa anauza kiwanja maeneo ya banana sijajua ni nani kama.hajauza aje tuyajenge lakini pia nahitaji uwanja maeneo hayo hela iko mfuko wa shati
We design awesome websites or any project that runs via browsers, these projects includes information management systems for small to large businesses (Depending on your instructions).
But also...
Niaje wadau, nahitaji internet service providers kwa ajili ya shughuli za kiofisi.
Ni kampuni gani iko vizuri na huduma zake ni nafuu!
cc Chief-Mkwawa Extrovert kelphin kepph Behaviourist
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.