4G SOLAR PTZ CAMERA
Available, built in Simcard slot, mobile view access, no need of electricity or wifi/ internet
Free delivery
Condition: New
Location: Kinondoni Studio
Price: 495,000/=...
Salamu Jf family
Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa...
Wakuu Habari za Jioni.
Ninahitaji solar water pump ya kuvuta maji kisimani. Kisima kina urefu wa mita 15
Eneo la shamba ni ekari moja Liko Kilimanjaro.
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja.
Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure!
Tunapatikana...
Habari;
Leo nimeona niwashirikishe watu fursa,Wakati nikielezea hii FURSA niweke angalizo kwamba "UKIITIWA FURSA UJUE WEWE NI FURSA" so kama hutaki kuwa fursa basi wewe hii fursa haitakufaa.Baada...
Je, wewe ni mwanafunzi uliyemaliza kidato cha nne?
Je, una ndoto siku moja uje kusoma nje ya nchi
Kama jibu ni ndiyo. Nakutangazia nafasi za masomo nchini China kwa wanafunzi wanaojifadhili...
BEI Tsh : 120,000/= (HII BEI NI YA OFFER)
OFFER: -Free Letter head
Huduma zetu utazipata mahali popote ulipo iwe ndani au Nje ya Tanzania!
HIZI NI BAADHI YA KAZI TULIZOWAFANYIA WATEJA WETU...
Tunatoa huduma ya kutotolesha (kuatamisha) mayai ya kuku, kanga, bata
Bei:
Sh 500 mayai ya kuku
Sh 700 mayai ya kanga na bata
Tupo Lugela, Kahama
0767659145
0620246040
0787659145
Ina Internal storage 128
RAm 8
Betry 10,000MAH
Inasoma 4G laini zote mbili na IPO speed sana kufungua files
N.B
Inakaa na chaji 5hrs ukiwa kwenye internet.
Bei 350,000/= Ni Pm ukiwa unaihitaji.
Asante
Wakuu habari.
Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma.
Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru.
Naomba connection
Natengeneza Matangazo Ya Biashara Ya Kupost Insta, Facebook ,Whatsapp
UNAUZA NINI?
Nicheck nikudizainie TANGAZO zuri utakalolipost Instagram, Facebook, Whatsap, Magrupu, Status n.k
Bei rahis tu...
Top Quality Website & Hosting Package - 50% Off!
We're pleased to offer our Top Quality Website & Hosting Package to new and small businesses at Over 50% OFF our regular prices for either a new or...
NYUMBA INAUZWA MBEZI MAKABE KWA DUNIA MACHO KODO. NI KM 3 TOKA STAND YA MAGUFULI
LOC :MBEZI MAKABE
AREA : SQM 400
PRICE : MIL 45
UMILIKI :MKATABA WA MAUZIANO
HII SIO YA...
Storage 64gb
Battery health 95%
Touch id inafanya kazi
Ina cracks kidogo kwenye back glass ila imewekewa back glass protector
Bei 400000 tu
Kama upo dar au kibaha nakuletea ulipo nina shida na...
Habari,
Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki).
Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.