Wakuu habari zenu?
Nina kijana wangu wa kiume anataka kuja DAR kuanza kazi hivyo anahitaji kupata malazi/accommodation ya bei nafuu wakati akijipanga kutafuta chumba na vitu vyake.
Kazi yake ipo...
*NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -
(MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE)
Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya...
Jipatie jiko la gesi na umeme kwa matumizi ya nyumbani
Brand:Gl general
Condition:used
3 gas burners
1 electric hot plate
Electric oven with light
Price: 200,000/=
Tunapatikana Tabata Dar es...
lap top aina ya HP inauzwa ipo kwenye hali nzuri bei ni laki nne na nusu (450000) Ram ni GB 8 HDD ni GB 1000 Edition ya 7 napatikana mwenge Dar es salaam.
mawasiliano
0763202727
#MKATA_POULTRY_PROJECT
0766406734
WAUZAJI WAZALISHAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA WA KUKU WA AINA MBALIMBALI VIFARANGA WETU TUMEZINGATIA UBORA NA VIGEZO MUHIMU
NA PIA TUNAWAPATIA CHANJO ZA AWALI...
machine ni automatic,
inatoa aina 2 za mikunjo, it4 na vigae,
nyingine inatoa aina moja ya mkunjo corrugated au migongo ile midogo ya kawaida,
inatumia 3phase, material inaingia 100cm inatoa 92cm...
Nyumba inapangishwa ipo kahama buswelu manispaa ya Ilemela ipo pembezoni mwa barabara itokayo buswelu kwenda Ilalila, ina vyumba vitatu, viwili master, public toilet ya ndani na nje ,sitting room...
Pagala linauzwa Kibaha Kwa Mathias,
Lina;
Vyumba 3 (kimoja master)
Sebule kubwa
Jiko
Stoo
Public toilet
Umeme uko pembeni ya kiwanja
Maji Yako jirani
Kutoka kituoni nauli ya boda ni shilingi elfu...
Changamkia hii fursa
kiwanja kinauzwa hakina dalali ni mtaa wa Rasta zuma kata ya terrati...jijini arusha.
Huduma za kijamii
.maji umeme vipo na usafiri wa daladala ni wa uhakika.
Mmiliki amehama...
Mambo vipi?
Mimi nauza simu bwana. Lakini kwa wateja ambao wanatafuta simu zenye storage kubwa.
Yaani umechoka kufuta picha au document ofisini mara kwa mara. Na unatafuta simu yenye uwezo...
Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza
engine nzima, seat nzima, 0713096076
kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu
Tunaanzia 2,500,000 it...
Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa
Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo.
Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale...
Karibu wapendwa tujenge taifa pamoja.
Tuna viwanja vizuri Sana Msumi mwisho.
Vimekaa vizuri Kama unavyoona kwenye picha.
BEI yake ni rafiki kiwanja Cha 20X20 ni milion 10..ILA maongezi yapo(...
Tusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine.
Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako...
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliejiajiri na sasa nimepata fursa kubwa zaidi hivyo nauza vifaa vya saloon hivyo kwa anaehitaji chap anipigie kwa +255625981281
*Machine
*Kiti
*Vioo kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.