Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Je?, Wewe Ni Mfanyabiashara Au Mjasiriamali unaemiliki Kampuni Yako Binafsi Isiyokuwa Na Website Wala Email za jina la biashara yako?? Je?, Unatamani Kuwa Na Website Na Email Zenye Brand Ya Jina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahali - Bunju A Kodi - Tshs 200,000 Maelezo Zaidi - 0742141467 Chumba masta, Sebule, Jiko. Umeme luku yake, Maji ya dawasa, Fensi, Parking, Karibu Na kituo cha daladala.
0 Reactions
0 Replies
437 Views
UTANGULIZI Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu kama “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Nina shida ya gari. Budget yangu 6M. Gari iwe kati ya Vits new model(engine 1N) namba D,Spacio new model hata namba C,Ist hata namba C,Raum hata namba C. Iwe kati hali nzuri,Isiwe na kipengele...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Tunauza mashine za press kwa ajili ya bush za magari. Tuna stock ya kutosha. Karibu. Piga simu 0713276892 0786786520 Karibu kwa Hussein, brb ya 20, Tanga.
0 Reactions
4 Replies
512 Views
Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule, Choo cha public ndani Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 250,000 Mahali goba, kwa awadhi Umeme Submita yake, maji Dawasa, fensi geti, parking ipo. Maelezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Grab this unbeatable offer: 199,000/= HP Laptop for sale Specs Model HP 6550b Ram 4GB Intel i5 Battery (charge) depletion time 45"- 1hr ❌Webcam isn't working ( but you can use external webcam)...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
TYPE :German Shepherd GENDER : FEMALE AGE : 6 MONTHS LOCATION : DAR ES SALAAM PRICE : 600K Very active with shining coats. Interested, please inbox or whatsap 0718239997 kwa maelezo zaidi Sent...
1 Reactions
12 Replies
745 Views
Habarii! Ninatafuta fremu ya biashara ya duka la dawa muhimu (DLDM). Kati ya moja ya maeneo haya mwanza, dar es salaam, na nzega. Kwa anaeweza fanikiiwa tuwasiliane PM inbox
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu. Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Aina haojue,bado ipo kwenye upya wake. Ipo kibaha,kokote inafika. inafaa kwa biashara ya Boda Boda au binafsi. 0693135215 Milioni moja na laki mbili
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari wakulungwa Niko dsm, Natafuta backhoe, used ya kununua It is urgently pls Tuwasiliane 065-932-5453
1 Reactions
2 Replies
522 Views
Halo habar wana JF, Naomba mwenye kujua kampuni gani wana pasi za kunyoosha nguo imara na zinazodumu au namna ya kutambua pasi feki na orijino
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Habariniwakuu na pia napenda kuwapa pole na majukumu ya ya Kila siku husika na mada tajwa happy juu kuwa nyumba inauzwa 10ml. Ipo pugu kimyamwezi umeme upo pia Hadi bomba la maji lipo Kwa...
1 Reactions
3 Replies
622 Views
Mashine ya kusaga onauzwa mashine bado ipo kwenye hali nzuru kabisa , ina mwezi mmoja tangu itoke dukani aina ya mashine ni YD , HP 20 , pia inatumika kuchania mbao au kumwagilia mashine ipo...
3 Reactions
9 Replies
973 Views
Hii ni miche ya mikomamanga meupe,inaanza kuzaa mwaka mmoja hadi miwili,ni matamu zaidi na mbegu zake laini zinatafunika...inakuwa zaidi maeneo ambayo udongo wake hautuami maji. Mche mmoja ni elfu...
2 Reactions
3 Replies
954 Views
Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu Nauza hii scan tool kwa ajil ya kupimia matatizo kwenye gari Inasoma faults code mbalimbali Inafuta faults code Wireless connection Internet browser Inapokea updates Nk. Price...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Back
Top Bottom