Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mashine ya kuhesabia Hela bei ya offer 330,000/= Free delivery Condition: New Tupigie 0745146690 / 0656190449 Ofisi yetu ipo Kinondoni Studio CHRISTMAS OFFER
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Showcase mbao mgumu sio mdf Urefu:Futi 5 Inaenda kwa 300,000 Maongezi yapo pia karibu 0712654515 Ukonga Dar es Salaam
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Habari za siku Hii biashara ya dagaa wa kukaangwa nilikuwa naifanya kwa kipindi flani ila nikasimama kutokana na mtu aliyekuwa tunafanyanae biashara kuacha biashara kwa sasa ndio nataka nirudi...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Harrier new model DMW CC 2360 Mwaka 2004 Km 89,000 Bei 21 ml Full option full body kity Iko buza 0628729873
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Chumba Choo ndani (Masta) Kodi kwa Mwezi ni Tshs 100,000 Mahali Mbezibeach Mawasiliano 0742141467
1 Reactions
17 Replies
2K Views
*DOT MACHINERY PRODUCTS* TUNAUZA MACHINE ZA UJENZI|VIWANDANI|MAJUMBANI|KILIMO|USAFI| CAR WASH MASHINE INAYOTUMIA DIESEL-2.5M BOTTLE JACK KUANZIA 100,000/= - 300,000/= MASHINE YA KUPUKUCHULIA...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Plots nzuri kabisa Mbezi mwisho (1.5Km ) Kutoka KITUO kikuuu Cha mabasi Cha Magufuli (Magufuli bus Stand). Karibu tujenge taifa pamoja. Mawasiliano +255784355775 - Mr MBUNGI.
0 Reactions
2 Replies
617 Views
Karibu @fixup.tz kwa huduma bora za[emoji116] ALUMINIUM WINDOW &DOOR PVC WINDOW & DOOR BALCONY OFFECE PARTITION Nyumbani au ofisini kwako kuanzia design, ukataji, kufunga, n.k. Wasiliana...
1 Reactions
0 Replies
825 Views
NATAFUTA CHUMBA CHA 50,000/= MAENEO YA TABATA. HELLO HABARI WADAU NATAFUTA CHUMBA CHA 50,000/= MAENEO YA TABATA. MWENYE KUFAHAMU ANIJUZE NDUGU ZANGU.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inauzwa. 130,000 Jeti kwa Gude, Dsm 0713096076
1 Reactions
6 Replies
524 Views
Marafiki zako ndio ndugu zako. Huwezi kuinuka maishani peke yako tu bila network na connection za jamaa zako. Lakini hao hao marafiki wanaweza kuwa adui wa maendeleo yako. Wakawa maadui zako...
6 Reactions
100 Replies
19K Views
Week hii natoa ofa ya incubator ya mayai 56 kwa wafugaji 10 wadogo.kwa Bei ya 300,000/=Tsh. ✓Inatumia umeme/betri la gari na solar . ✓Inajiendesha yenyewe. ✓ Inauwezo wa kuangua zaidi ya 97%...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu, msaada anayefahamu chimbo la vijora vya jumla kwa hapa Dar
7 Reactions
42 Replies
7K Views
Wakuu ni duka gani kwa Dar es Salaam wanauza genuine (made in Europe if possible) wiring materials na vikorombwezo vyake kama vile soketi, swichi n.k. Niko kwenye hatua ya kufanya wiring kwenye...
0 Reactions
17 Replies
18K Views
Habari ndugu natafuta duka maeneo ya Dar ambapo Naweza nunua socket na switch Za Schneider. 1 gang 2way,2gang 2 way,3gang 2 way,and 13A socket with lamp,double 13A socket.45A switch. Namba zangu...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Natafuta deki tajwa hapo yeyote ambaye anayo tuwasiliane tufanye biashara,
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa. UKUBWA 1. UREFU 28 2. UPANA 25 Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi. Kwa walio serious karibuni..22mil Mawasiliano...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu. Natafuta TV flat screen ya inchi 24/25/26. 1. Isiwe na tatizo lolote 2. Kioo kiwe kisafi, kisiwe na mikwaruzo wala michubuko. 3. Iwe haimjui fundi. Kama unayo, njoo PM. Location...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa wafugaji wa nguruwe morogoro mjini njoo tuongee biashara pesa ipo mkononi nataka vinguruwe vidogo vya kufuga
0 Reactions
3 Replies
764 Views
Back
Top Bottom