Wakuu Niko na Binamu yangu anasoma shule ya day Ila Kuna changamoto ya umbali kutoka nyumbani Hadi shule ni kama kilometa 3½ - 4.
Mwenye Baiskeli nzuri used yenye good condition nistue
Ndg yangu pengine una paa lililo ezekwa kwa vigae vya Mbezi tiles au Nabaki Africa, limechafuka na hujui ufanye nini. Sasa ninalo Suluhisho la tatizo lako.
Huna haja ya kupaka rangi kigae chako...
Pikipiki ni King Lion
Cc 150 Gia 5
ametembea mwaka mmoja
Hana shida yoyote njoo na hela yako tu
Engine nzima kabisa
1,800,000
Nipo Nae machinjioni hapa
0713096076
Je kufua kwako ni kero basi rahisisha maisha kwa kuokoa muda wa kufua ishi kidjitali kwa kutumia mashine ya kufulia
Brand:Panasonic
Model Name: NA-F70G6
Condition: used
Color:Silver
Washing...
Ndugu zangu habari, mimi nipo mbele yenu leo kuliuza shamba zuri la mikorosho lililopo wilaya ya Manyoni lenye ukubwa wa ekari 13.
Shamba hili lipo katika mradi mkubwa sana wa korosho hapa...
Nauza gari yangu Toyota verossa iko kwenye hali nzuri
Year:2002
Engine cc:1980
Colour:silver
Insurance:comprehensive
New tires
Location:Mbezi beach
Full AC
Contact:+255714787795(owner)
nauza bulb camera kwa bei rahisi kabisa arusha mjini
-inaunga wifi hivyo unaweza kutazama kinachoendelea nyumbani au kwenye biashara kwako ukiwa popote duniani kwa simu yako (smartphone)
-ina...
Salama wakuu, nmewasogezea hapa printer Hp LaserJet. Printer ipo kwenye hali nzuri kabisa ni (Black&white) kwa yoyote ambaye atakuwa interested bei yake ni 250,000= top top, kwa mawasiliano zaidi...
Je, wajua kua Brand nyingi maarufu zinazotengeneza AV Receivers huweka sound decoder kwaajili ya ku control sorround sounds...au 3D sound formats
Na hizo decoding softwares kuna makampuni...
Habarini,leo tena nawakumbusha kwa wanaoendelea kujenga kwenye maeneo madogo hata makubwa kwamba huna haja ya kuchimba mashimo kwaajili ya Choo,tumia technology yetu ya Biodigester Decentralized...
Kuuza bila Dalali ni mauzo ya mashamba, viwanja na nyumba ambayo yanafanyika bila kuhusisha dalali kati ya mwenye nyumba na
mnunuzi. Hivyo huwezi kulipia ada ya dalali wa nyumba na ardhi.
Kwa...
Miche ya mdalasini inauzwa
2600/@
+255762967548
Kampuni ya Nehemia One Co Ltd inajukumu la kufanya wawekezaji kufikia ndoto zao. Kutokana na uzoefu wa soko la MDALASINI ndani na nje ya nchi...
Habari,wadau nauliza Kwa mwenye ufahamu juu ya biashara ya kuprint viroba mfano Vya sembe Kwa wanaosagisha mahindi na hata mifuko mingine.
Kwa anayefahamu:
1:Upatikanaji wa printa na bei zake...
Wadau hope mpo pouwa... Nilikua naulizia gharama za mashine ya kuprint viroba kama vya unga wa sembe,ngano ni Biashara nayo ifikiria kwa mitaa ya manzese.... Asanteni sana Masue safarini kigoma.
Huu ni uzi mahsusi kwa sisi ambao tunaanza biashara ya kuuza vifaa vya simu mfano makava ya simu, chaja , earphones, nk.
Kwa hiyo tupeane maujuzi kwa ambao wanaujuzi wa hii biashara , bei ya...
NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -*
( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE)
Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.