Habari za wakati huu;
Wakati nikiwa shuleni niliambia kwamba Every Company employee is Sales Agent and a marketing Agent.Kila mwajiriwa wa kampuni ni afisa masoko na afisa mauzo.Kila afisa masoko...
Mamb vp wadau wa JF, ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi
frame iwe na kigai na gypsum...
Hellow Jf Members habari zenu,Nina Million sita cash nahitaji Gari ndogo aina ya Ist,Raum au Allex ya namba D iliyopo kwenye hali nzuri ya kwenda na kurudi Kazini tu
Kama unayo nicheki hapa ila...
Kwa mahitaji ya fundi mzuri wa gardens/ bustani za majumbani, maofisini, mashuleni n.k wasiliana na hawa vijana kutoka kwa simu namba 0687239674 wanapatikana Tegeta, Dar es salaam.
Watafute...
Mimi ni fundi mzuri na nina uzoefu wa kazi hii kwa kuwa nimefanya kazi sehemu mbalimbali ndani na nje ya mkoa huu wa Dar es Salaam,
Napatikana Tegeta,Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi nipigie...
Wadau kwema humu?
Naomba kujua sehem wanakouza hivi viti vya Plastiki kwa jumla kwa Dar es Salaam apa.
Pia nilisikia kwamba SIDO nako wanatengeneza ila sina uhakika naomba pia kujulishwa kwa...
Kapeti jipya la manyoya linauzwa
= ukubwa futi 7 kwa 9
= rangi ya kijivu na nyeusi kwa mbali
= lipo arusha mjini karibu na jengo la ngorongoro
= bei TShs 85,000
= mawasiliano 0765 390 225
:)KARIBUNI:)
Simu Used Full Box iko sokoni,Full Documents.
Brand; SAMSUNG A21s
Internal; 64GB
RAM; 4GB
Condition; Iko kwenye hali nzuri,nimeitumia miezi 5 tu.
Location; Dsm.
Price/Bei; 350,000/-
Mawasiliano...
Tuna to a huduma zifuatazo
#tunaosha seat za magar
#tunaosha soffer za majumbani
#tunapiga polish ya body
#tunafanya service za magari
# tunaosha magari
#tunafua mazulia ya nyumbani
#tunaweka...
Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake.
ni rahisi kutumia.
rahisi kutoa kwenye pocket.
rhisi kubeba.
Ipo Jijini Mwanza.
Hio ndefu...
I'm sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari.
MASHARTI KWA MFANYAKAZI
*hati ya mihahara miezi mitatu
*kopi ya kitambulisho
*mkataba wa ajira...
Brand new double electricity deep fryer
Fryer ya kisasa kwa ajili ya biashara
Inatumia umeme
Ina matank mawili
Inaingia lita 12 za mafuta
Bei 240, 000Tsh tu
Ina warranty mwaka mmoja Stainless...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.