Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Viwanja vipo goba tegeta A ukivuka shule ya msingi kuelekea madawa. 1. 20/22meter kipo kazimoto street. Bei ni sh 13 mio mazungumzo yapo. 2. 20/30 meter kipo kazimoto street, kina kamtelemko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipo mbezi njia ya goba. Kituo kinaitwa kontena karibu na kanisa katoliki. Ni mbezi ya juu mtaa wa kunguru yalipo makazi ya mbunge Ester Bulaya ambayo ni opp na secondary ya sant Joseph. Fika au...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Unataka kukua kiroho? Unatamani kufika katika kambi bora kabisa la kujifunza Neno la Mungu? Njoo jiandikishe inbox mapema sasa usikose nafasi... Kambi la kuweka alama katika maisha yako! Kambi la...
1 Reactions
6 Replies
885 Views
Nahitaji kununua generator nzuri chini ya Million 15 Kwa ajili ya kugenerate umeme kijijini kwa bibi mkubwa
2 Reactions
7 Replies
2K Views
habari karibuni dukani kwetu ujipatie simu kali za oppo . oppo a15 ram 2 gb storage 32gb Front Camera: 5MP✅ Rear Camera:13MP + 2MP + 2MP✅ RAM: 3 gb✅ Storage:32GB✅ Battery Capacity 4230mAh✅...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Natafuta gari aina ya ist kwa ajili ya biashara ya Uber,mkononi nina 4M.Nipe gari nifanyie biashara ntakulipa kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu hela inayobaki
2 Reactions
5 Replies
750 Views
Ongeza kipato chako kwa kununua mashine za kutengeneza ice cream au barafu za kwenye koni na ice lolly wengi wanaziita lamba lamba. Ni biashara nzuri sana kwenye mashule,vyuo pia hata mtaani...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Lenovo Legion Y7000 PROCESSOR / CHIPSET CPU: Intel Core i7 (9th Gen) 9750H / 2.6 GHz Max Turbo Speed: 4.5GHz Number of Cores: 6-Core 64-bit Computing: Yes Features: integrated memory controller...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama uko maeneo ya Mwanza na una Simtank used unauza, naomba tuwasiliane inbox tufanye biashara. Asante sana.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gari inauzwa Toyota Premio Engine kubwa Ina upungufu wa Real Lights, side mirrors, powerwindows baada ya wez kufanya yao. Gari iko Dar Es Salaam For serious buyers: Check with 0782676842.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu JF leo tuangalie umuhimu wa flush cistern tank na matumizi yake na namna ya kufunga na ubora wake Flush cistern tank ni kifaa maalum kwa ajili kuifadhi maji ya kusafisha...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mwenye huitaji Tunauza Mizinga na Makundi ya Nyuki kuanzia April 18. Tutakuwepo kwenye Viwanja vya 88 Morogoro Karibu tukuhudumie Toa order yako mapema!
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa. Natumaini muwazima wa afya na mnaendelea kutekeleza majukumu yenu. Ningependa kuwashirikisha machache kuhusu kampuni yetu Watanzania ya TTCL Kwanza nianze na huduma...
13 Reactions
83 Replies
24K Views
Hello, wakuu nafikiria kuangiza vipodozi kutoka nje ya nchi na kuviuza nchini kama retail na whole sale. Naomba mwenye kufahamu hata connection ya online ya wasambazaji wa vipodozi kutoka nje ya...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Mwaka 2003 nilibahatika kuhudhuria mnada wa mtu aliyeshindwa kulipa DENI. Mnada huu ulifanyika huku familia ikiwa ndani ya nyumba kwa mkopo ambao BABA alichukua kwa ajili ya...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Nauza laptop lakin imeharibika kioo nauza vitu vya ndani HDD yake 500 GB na RAM 3 GB contacts:0759-124378 Bei laki moja na elfu thelathini
0 Reactions
2 Replies
559 Views
FORTUNATE GROUP LIMITED Ni wataalamu tuliobobea kwenye kujenga nyumba za aina zote za Kisasa na zenye ubora wa hali ya juu kwa gharama Nafuu Tunatoa huduma zifuatazo; TUNAJENGA NYUMBA ZA KISASA...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
LG LED Smart Tv 42"(FULL HD) Used from uk 2 hdmi port av port 3 flash port 3D Ethernet Wireless LAN WI-DI Technology Digital Tuner DVB-T (MPEG4) SATELITE RECEIVER Ukiwa na Dish tu no decoder ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Biashara ya chips inauzwa ipo Yombo kituo chama, sehemu ya biashara ipo barabaran kabisa, kuna kila kitu kinachohitajika kwny biashara ya chips , na kod bado ipo miezi 4 ukifika ww nikuanza kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom