Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kazi zake; Copying (black), Printing (black), Scanning (Color, grayscale, black & white), Kwa ukubwa wa A3, A4, A5 n.k. Inafanya kazi zote tajwa hapo juu. Wino wake ni cheap na unapatikana sana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
thawabu motorcycle spare part ni wasambazaji spare za pikipiki aina zote za kampuni ya SLL PART kwa wale wote walio karibu na maeneo ya tegeta na viunga vyake na mikoa yajilani kama vile...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hello Hello Dodoma Hii hapa nawaletea kwenu. FREMU Chumba cha biashara kizuri sanaaa. Kipo Dodoma mjin katkat Kina milango pande mbili Panafaa kwa Ofis ama aina yeyote ya Biashara Mfano. _nguo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi Ninaitaji eneo lililowazi na kubwa la kukodi Jijini DODOMA preferably maeneo ya Uzunguni (kuanzia maeneo ya NHIF mpaka Dodoma Hotel) Liwe na sifa zifuatazo:- 1. Lifikike kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Miaka zaidi kadhaa iliyopita nilihitimu masomo yangu ya sekondari.Baada ya kuhitimu nilirudi nyumbani na tukakutana marafiki kadhaa ambao wote tulikuwa tumehitimu tukisubiri...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wanajf,,nakuja jukwaani kama kijana mjasiriamali anaechipukia,,nimekuja na biashara ya vitu vya mtumba kama vile SIMU,,,COMPUTERS,,,PLAYSTATIONS GAMES na vifaa vyake kama...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Hati ya kiwanja ipo Huduma muhimu za kijamii zipo; maji ya Dawasco, umeme, huduma za afya, maduka, shule havipo mbali. Eneo ni tambarare halituami maji kipindi cha mvua Eneo hili linafaa...
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Nauza azam full set kwa lak na 60 Kipo katika hali nzur kinapatikana kimara karibuni 0625772790
2 Reactions
10 Replies
827 Views
Habari za wakati huu wakurugenzi; Kwa wale ambao wako na Pesa lakini wanatafuta pa kuziwekeza.Unahitajika Mkopo wa Kibiashara.Kiasi cha mkopo unaohitajika ni Milioni 60. Dhamana ya Mkopo ni kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm. Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami. Vimepimwa na kina hati. Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni ) Wasiliana nasi - 0742141467
0 Reactions
7 Replies
907 Views
Nauza mzani wa digital aina ya camry unauwezo wa kupima kg 40. Unaonesha bei na uzito kwenye screen. Bei ni tzs 95,000 tu (dukani bei 150,000). Unatumia umeme na unatuza charge kwa mwezi 1. Piga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Mbeya Mjini, nyuma ya pm hotel, karibu kabisa na stand ya nanenane, mita mia toka rami inayotoka nanenane kwenda ilomba, piga simu 0744757738
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanazengo salaam,nimeanza mchakato wa kulinyemelea Jimbo moja huko kwetu 2025. Kama ilivyo ada,bila kuwaweka sawa Wajumbe lazima nitaangukia pua. Hivyo,nauza haka kamjengo kangu nipate pesa ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000) Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF habari za muda huu? Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu kama uzi unavoonesha hapo juu nimeamua kutoa fursa nahitaji kreti 50 za kampuni ya pepsi na kreti 50 coca kreti ziwe na chupa ndani. Chupa bila kreti na kreti bila chupa pia nanunua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu, Nipo Dar-es-salaam nahitaji maziwa ya Ngamia je yanapatikana wapi? Msaada tafadhali... Ahsantee!
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Do you want to start a Maize Milling Business? Then get this 85-page guide which contains: 1. Overview 2. The Opportunity 3. The Upcountry Choice – Case Study Disadvantages Advantages 4. Case...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu wadau, Nchi zilizoendelea wapo mbali sana In all Aspect of life katika matumiz ya Teknolojia Economical, social, na political . Sasa Naomba kujua hapa Tz/mikoan ni wapi naweza kupata...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Iphone 6s storage gb 128 battery health 100% Support 4G LTE ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara bei, 320,000 mbezi kimara, Dar. 0713096076 DEADLINE: 5.3.2022 USIPIGE...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Back
Top Bottom