Toyota Landcruaser VX inauzwa iko katika Hali nzuri sana .Iko Arusha Mjini ,
Bei yake ni milioni 18 maongezi yapo
,kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa inbox ,Au comments hapa nitakujibu as soon...
Wakuu habar za muda huu, naendelea kutoa huduma kwa wale wanaotaka kupelekwa kariakoo kufahamu machimbo mbalimbali, ninauzoefu wa mda sasa wa kupeleka watu kuwaonesha machimbo.
Yafuatayo baadhi ya...
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
Zipo website tatu;
Kila moja inauzwa shilingi 155,000 ziko hosted kwenye wordpress cms.Unapata na emails za tano.
Website ni za utalii na zina umri wa zaidi ya miaka 3.
Ukinunua website hizi...
Tunauza mzani Wa kisasa wa Kupima chakula cha mifugo Pamoja na bidhaa zingine.
✓unapima kilo 0 Hadi 50
✓unatumia betri ndogo.
✓hudumu na chaji.
✓ni imara sana .
Bei 20,000/=Tsh.
Simu...
Luguruni
Metres 500 kutoka Main Morogoro Road
Eneo ni 25 kwa 30.
Kuna Fremu tano na godown kubwa la mashine ,maji na umeme Upo .
Bei inaanzia 150M .....maongezi yapo kidogo.
Kwa maelezo zaidi...
Wadau nipo njia panda kidogo
Hivi Samsung S20 Ultra 128GB dual sim mpya inapatikana madukan kwa sasa hapa DSM na bei yake ipoje maana madealers wengi wakkoo wanadai hamna mpya na wanasisitiza...
Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira.
Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo:
1. Vyumba viwili vya...
Kiini cha njano,kuku wanapewa majani kila siku, hatutumii carophyl yellow kuongeza unjano
Bei ya elfu 6800(kuanzia trei 10)
Oysterbay karibu na ccbrt
0738832076
Bei inapanda na kushuka,kwa hiyo...
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni...
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea...
Viwanja vipo goba tegeta A, karibu na kwa madawa.
Ukubwa ni 20/22m na kingine ni 30/20 vyote ni sh 13m lakini maongezi pia yapo.
Barabara inafika mpaka hapo, ujirani ni mzuri na mahitaji yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.