Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Bei ni 190000 0625547181 haina kasoro
3 Reactions
7 Replies
35K Views
Nahitaji stabilizer kwa ajili ya Tv. Naombeni mawazo mafundi wananambia hata nikipata ya watts 500 kwa Tv peke yake ni sawa. Mwingine ananambia angalau iwe ya watts 1500 na kuendelea.. Nahitaji...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Bei ni sawa na bure Aina ya gari ni SUZUKI CARRY Usajili ni T 134 BRV Haina deni lolote Full documents Gari ni ya kuwasha na kuondoka BEI NI 5.5M Mazungumzo yapo Njoo na ofa yako. Kea maelekezo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mifugoplus ni wauzaji Bora wa mashine za kutotoleshea vifaranga.wapo dar es salaam Tegeta .pia wana Mawakala mikoani kote. Wasiliana nao 0656446991
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Usumbufu wa kupika maharage, kutumia muda na nishati nyingi ya gesi/mkaa mwisho Leo. Order maharage ya Q BEANS yaliyochemshwa bila chumvi wala mafuta teyari kupikwa kwa pishi lako utakalo bei...
11 Reactions
84 Replies
11K Views
Habari za muda huu watafutaji wenzangu nimefungua biashara yangu naomba sapot yenu kwa wale wa maofisini naomba tenda na kwa wale wajasiriamali kama mimi naomba mniunge mkono kwa huduma zifuatazo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Waterlife well drillers! [emoji98]chimba kisima kwa gharama nafuu[emoji98] Baadhi ya maeneo ya Kigamboni/Mikocheni & masaki ni 2.8 million mpaka 4million [emoji98]utafiti wa maji...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Karibuni wadau, nauza drone yangu ambayo nimenunua hivi karibuni. Bado haijasjiliwa Ni mpya ina wiki tu. Bei 900,000tu Mawasiliano 0716440258 Tabata Segerea.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nyumba imeishia usawa wa lenta, Ni ya vyumba 2 kimoja self, sebule kubwa na pia ina choo cha Public inauzwa kiasi cha Mil 9.5. Ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa 20×20. Pia shimo la karo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari; Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu. Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu...
2 Reactions
2 Replies
934 Views
Heshima Kwenu Wakuu Nina maharage gunia 20, nipo hapa Arusha natafuta mnunuzi. Haya maharage niliyalima mwaka jana hapa hapa Arusha. Maharage yanaitwa "ngaraisee." Kama utahitaji au unajua...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari za weekend Wana body. Maelezo : Toyota passo Cc 990 Piston 3 New tyres Full ac Well maintained Haina changamoto yeyote Price : 4.8m MAWASILIANO: 0785 857564 Wahi chap
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wadau. Ninauza pikipiki yangu mwenyewe, natumia kwa route za kwenda kazini tu. Aina; Boxer 125. Usajiri; CMP lakn kama mpya ubora wake. Location; Kipawa Dar. Hali yake; Nzuri...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu ninauza , Nilitaka kuanza project Ila imeshindikana . Overlock machine -laki tisa Sewing machine - laki nane Button lock machine - million mbili Button machine - million...
0 Reactions
4 Replies
616 Views
Manufacturer: TOYOTA Model: IST Year - 2002 Engine Size: CC 1490 Mileage: 154991 Transmission: Automatic Colour: Grey Fuel: Petrol PRICE / BEI: Tsh.8.8 Mil ( Milioni 8 na laki 8 ) MAWASILIANO ...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakubwa shikamoo!!! Kwa wale wadogo hamjambo!!!! Na wale tunaolingana mambo niaje..... Kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema usio na kikomo kwa kutujalia tumeamka salama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
INAUZWA NYUMBA IPO GOBA SHELI YA ENGINE KUTOKA BARABARA YA GOBA ADI KWENYE NYUMBA MITA150[emoji118] _____ MILIONI 160 MAONGEZI [emoji118] ________×________________ &SPECIFICATION ZAKE[emoji116]&...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Asalaam alaikum, Napenda kuwatangazia kua nina nyumba nauza kigamboni mikwambe yenye sifa zifuatazo . Nyumba ipo kigamboni Mikwambe . Nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami ya kigamboni ...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom