Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wanabodi kama kuna mtu anauza king'amuzi Cha Azam anitafute nahitaji ving'amuzi sita na Azamu wenyewe wanataka ninunue na dish wakati shida yangu sio dish. 0715200767
0 Reactions
6 Replies
921 Views
Kama una benchi zuri la mbao (lisiwe la chuma na lisiwe na sehemu ya kuegemea) linalotosha kukaa mpaka watu wanne njoo PM tufanye biashara. Kama wewe ni fundi seremala na unaweza kuniahidi...
1 Reactions
7 Replies
721 Views
NEW UPDATES: TAWA WATER PROFFESIONAL Ghalama za kuchimba kisima na Underground Water Survey. Dar Es salaam: kuchimba ni Tshs 80000 kwa mita moja unawekewa bomba na pampu Dar Es salaam Survey...
1 Reactions
152 Replies
16K Views
Habari zenu Nauza friji hii iliyotumika almost miaka 9 hv Sifa zake: 1. Rangi nyeupe, ila vema ukiirudidhia rangi 2. Ni kubwa 3. Aina ya Bosch 4. Inafanyakazi japo ufanisi umepungua kiutendaji 5...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwa ambaye atahitaji huduma yoyote hapo basi Usisite kunipigia , Huduma zoote hapo zinapatikana hivyo kwa atakae kua Tayari napatikana Masaa yote yale kikubwa ni kua Sereous , WELCOME CUSTOMER...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Kwa Wakazi wa Dar es Salaam; Hii si ya kukosa. Fanya Booking ya Huduma ya Usafi au Urembo ukiwa Nyumbani kwako ama popote ulipo, na sisi tutakufuata hapo ulipo. Popote ulipo, nasi Tupo. Hakuna...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari wadau, nataka kumnunulia mtu simu janja, mwenye uzoefu wa simu janja nzuri kuanzia uwezo mzuri wa camera, ukubw RAM/ROM, na kukaa na chaji naomba anishauri simu ipi naweza kununua! Isiwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Blackstone 25 inch bado mpya na box lake HDMI✓ VGA✓ USB✓ AV✓ Tsh 195k Kigogo mburahati Unapata na remote yake 0692402211
2 Reactions
3 Replies
890 Views
Chagua namba ya perfume itakayokupendeza upate kwa gharama nafuuu kabisa. 1. Mousuf Perfume.Ni Perfume nzuri hasa kwa wanaume ina harufu iliyokolea lakini haikeri utapata kwa 32,000 tsh tu. 2...
3 Reactions
55 Replies
17K Views
Isecure Technology ni kampuni inayojishughulisha na kufunga mifumo mbali mbali ya ulinzi maofisini na majumbani. Hii mifumo ni kama CCTV camera, Electric fence, Bio-metric time attendance and...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Msaada tafadhari ntapata wapi hii pinde na mishale ya kisasa.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
ADSL2/2+MODERN ROUTER 150 Mbps Wireless N SWITCH LAN 4 PORTS STATE OF THE ART SECURITY VIS FIREWELL AND WIRELESS ENCRYPTION. 0737167579
1 Reactions
4 Replies
494 Views
Tunahitaji kutoa msaada kituo Cha watoto yatima ndani ya jiji la dar es salaam..mwenye kujua kituo kilichopo ndani ya dar es saalam na sio mbali na mjini au kisiwe mikoani yaan rahisi kufikika...
3 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wana Jamvi, Mimi ni mmiliki wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha, kiwanja kipo Buhongwa centre na kimepimwa, kina ukubwa wa 40 kwa 30. Bei mil.6.5 N.B Hakina dalali. 0687259290
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Toyota premio Year 2003 Cc1490 Gari safi njoo ukague Ipo arusha Mil9 tu ☎️ 0718909429 more photo and details
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu poleni na mihangaiko ya kila siku niende moja kwa moja kwenye Lengo nauza hiyo mashine ya kuoshea magari ☆Sifa zake: 》Inatumia umeme tu 》Ni mpya kabisa ipo kwenye box lake 》Pump yake...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Mic akg1000s kwa 230000 soundcard ya behringer um2 kwa 230000, mic stand kwa inayosimama sakafuni kwa 40000, ya mezani kwa 30000, pop filter 20000 na waya zake. Au kamata vyote kwa 500000...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Gari imenyoka haina tatizo lolote. Bei Milioni 4 Lilipo dar es salaam. Call 0742141467 au 0686648630
0 Reactions
6 Replies
769 Views
Natafuta king'amuzi used cha azam nipo dar~0769116443
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu. Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam. Mnara una kila kitu chake. Machine zote. 0783985530
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom