Habari Tanzania, Hii ni LAIKS CARGO Kampuni inayojishughulisha na usafirshaji mizigo ya full container, loose cargo na kucompress mabelo saizi zote kutoka CHINA-TANZANIA Kwa njia ya maji,Karibu...
🌍 GOOD NEWS: USAFIRI NA UHAKIKA KWA WAAGIZA NA WAUZAJI WA MIZIGO YA KIMATAIFA 🌍
255626201416
Unataka kuagiza mizigo kutoka China 🇨🇳 au kuuza bidhaa za Kitanzania nje ya nchi 🌏? Faidika na huduma...
Kifaa cha kubadilisha lugha kinachotumia mfumo wa AI kinabadilisha lugha yoyote kwenda kwenye lugha yako mtu anapoongea vinatumika kwenye mikutano ya kimataifa kwa viongozi, wafanyabiashara, n.k...
Wakuu nataka kununua godoro bora, na sio la kuumiza mgongo, katika kutafuta taarifa humu nikagundua Magodoro ya Tanfom na QFL magodoro Dodoma ndiyo the best. Kama kawaida nikaingia mtaani kusaka...
Wandugu,
Tukishajenga Na Kuhamia Tunahitaji Kufurahia Usingizi Pia.
Naomba Kuuliza Kwa Mwenye Kujua Godoro Zuri Hapo Ambalo Ni Imara Na Halibonyei Mtu Akilalia Hata Wa Kilo 100[emoji3][emoji3]
Wazee mambo yasiwe mengi saaasa! Mi sichekeshi
Ninhitaji tv ya nchi 15, godoro la elfu 25 ikiwezakana na Chumba cha kupanga elfu 20 cha umeme nalipa miez miwili
Napendelea sana mabwepande mpaka...
Nahitaji mfanyakazi wa kuuza dukani
Duka dogo kabisa la REJA reja
Awe mwanamke
Umri kati ya miaka 15 na 23
Atalala hapo hapo
Mshahara 90,000
Anahitajika haraka sana (0655 489 483
WAHI UJIPATIE KIWANJA KIZURI SANA, BEI 3 Million.
ENEO: BUKAGA, KISHIRI
KIMEPIMWA, KUNA BIKONI KABISA. Hatua 21 kwa 17.
NYARAKA: HATI YA MAUZIANO
BARABARA INAPITIKA VIZURI NI KIWANJA CHA TATU...
Habari!
Mimi nina design mikanda ya ngozi na nimekua nikitafuta sana Buckles (bakoz) za kufungia mikanda ambazo ni nzuri , imara, na high quality lakini sijapata hapa Tanzania! Nimepata sehemu...
Habari wote,
kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer.
Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi.
Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba...
Kutokana na kuongezeka kwa makazi ya watu huku ukubwa wa transformer za Tanesco zikibaki zilezile,kumepelekea maeneo mengi ambayo miji yake inakuwa kukabiliwa na tatizo la umeme mdogo hasa...
Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1
Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya...
Je umeagiza gari lako nje ya inchi na unahitaji msaada wa kutolewa bandarini kwa haraka na bei nafuu? Tazama bei zetu za utoaji Magari bandarini na ukipenda tupigie, punguzo lipo na km aina ya...
Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.