NB-PICHA SINA ILA NINA VIDEO ZAKE NITEXT WHATSAP NIKUTUMIE
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA -IMESHUKA BEI
______
MAHALI-IYUMBU (MORO-DAR ROAD)
-JIRANI NA SHULE YA MFANO
______
UMBALI TOKA BARABARA YA...
Maelezo ya Nyumba:
Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana.
Nyumba ipo mbweni JKT.
Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201.
Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so...
Mimi ni kijana wa miaka 22,napenda UANDISHI na ni mwandishi wa riwaya na hadithi fupi za kimagharibi(Western) yaani world wide mfano Nina story inayoitwa THE OLYMPUS, setting yake ni BEFORE CHRIST...
Habari wana JF
Natafuta msichana kijana mwimbaji mwenye mwonekano wa pop anayejua kuimba kwa Kiingereza katika maeneo ya sinza. awe age kati ya 18 - 21.
Kuna nyimbo za kingereza ambazo atakuwa...
Habari!
Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa.
Gunia zetu...
Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4
Bei:7500
Location Sae Mbeya, 0676692082
SIFA
Wana stahimili magonjwa
Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea...
Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4
Bei:7500
Location Sae Mbeya, 0676692082
SIFA
Wana stahimili magonjwa
Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa...
Nyumba Goba niwe nne Njia panda ya Tegeta A. Ukubwa wa eneo 550 square meter
vyumba vinne, viwili master, sebule na jiko
Tank la Maji na kisima cha Maji ya akiba, Mita 400 toka barabara ya Lami...
Habarini wapendwa!
Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la...
Lipo Kijiji cha mfriga
Kata ya mfriga
Tarafa ya lupembe
Mkoa wa njombe
Ukubwa ni eka 30
Bei ya kila eka ni tsh 100000
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929 au 0784340024
Sent using Jamii...
Jipatie mbwa bora kwa ulinzi wa mali na familia yako. Mbwa wetu wanapatia mafunzo maalumu ya utii na ukali tangu wakiwa wadogo, kuanzia umri wa miezi mitatu.
Tunazo aina bora kwa ulinzi:
1)...
Kuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km...
Tunauza mashine za kuchakata malisho ya mifugo kama vile kuku.
Mashine hii inauwezo wa kuchakata mabua na majani hadi kuwa vipande vidogo dogo sana.
Inauwezo pia wa kusaga...
TOYOTA PREMIO 2001/6 Car for SALE
Details
Power Steering, Air Conditioner, Anti-Lock Brake System, Dual Air Bags, Power Windows
TOYOTA PREMIO 2001/6 Details :Year: 2001, Registration Month...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.