Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani.
Kodi ni 450,000...
Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui
Dakika 5 tukutoka kwa bedui center
Dakika 7 tuu mpaka goba centre
Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho
Kiwanja kina sqm 722 (Upana wastani wa 19m and...
Wakuu niko na iPhone 11 plain hapa naiuza,
128gb,
Face id bado ipo
Battery health now inasoma 73%
Ina crake kidogo kioo cha nyuma,.
Kama unahitaji hit my dm Asap!
Kama uko Songea pia itapendeza...
Habari,
Karibu CITIZEN CARGO LTD
Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo)
Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo;
1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg
2...
Habari za kazi wanjukwaa,
Kampuni ya PM EXPRESS CARGO tunapenda kuwataarifu kuwa tunasafirisha mizigo kutoka China Kuja Tanzania kwa bei nafuu kabisa. Tunaendelea na upokeaji wa mizigo ya kawaida...
Habari Boss[emoji3575]. Kampuni ya Sabour Express Cargo Trading Ltd.
Tunakukumbusha ndugu mteja tunaendelea na ukusanyaji wa mizigo ya kawaida(express) katika warehouse zetu china[emoji630]
Ndege...
Habari boss , kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS LTD inapenda kukutaarifu kuwa tunaendelea na zoezi la ukusanyaji wa mizigo katika Warehouse zetu za China🇨🇳 kwa njia ya ndege (Express)🛫...
Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia.
Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha
Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na...
TANZANIA ELECTRICAL,ELECTRONICS AND ICT SOLUTION ONLINE
Tunakaribisha watu binafsi katika kupokea mafunzo ya Electrical,Electronics na ICT kwa njia ya mtandao(ONLINE),
Mafunzo yetu yana lengo la...
Wakuu naamini mpo salama,
Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK
DETAILS
Make
Nissan
Model
Teana...
habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.