Nauza kitanda mbao aina ya mninga cha ukubwa wa 6x6. Nmekitumia kwa muda wa miaka minne sasa. Nakitoa kwa bei ya kindugu kabisa na mwingine akaanze maisha. Napatikana mtoni kijichi mbagala kuu...
Storage 128Gb
Ram 6Gb
Cpu - Octa- core Max 2.32GHZ
Mi Remote
MAIN CAMERA
64MP
Led flash, HDR, Panorama
Video 4k@30fps, 1080p @30/60/120fps...
SELFIE CAMERA
Single 16mp
HDR, Panorama
Video 1080...
Bata mbegu nzuri sana ya kienyeji wanauzwa Bunju B.
Bei:
Majike makubwa Tshs. 15,000
Wenye miezi 5 Tshs. 10,000
Dume kubwa la mbegu Tshs. 25,000
Piga 0759 819 819
Natafuta gari mark x iwe na rangi nyeusi ama rangi ya silver iliyokolea sana pesa iko mkononi iwe no D yoyote ile kama unayo ama una mtu anauza basi nicheck inbox tufanye biashara iwe katika hali...
Habari wajf naamini hapa ni shemu sahihi kuna wasomi wa nyanja tofauti pia wapo waliosoma phisics hata watu wa kawaida tu. Kutokana na dunia kuhitaji zaidi utalaam nimeona watu wanatumia zaidi...
Habari za asubuhi poleni na misukosuko ya maisha.
Ninahitaji gari hasa nikipata vichanja vinavyo weza kubeba Tone 30 nahitaji zinibebe Korosho mtwara kuleta Dar naomba kama utakuwa nazo njoo...
Waheshimiwa sana salaam.
Mimi ni mkaazi wa Dar es Salaam na hivi karibuni nimepata interest ya kufuga bata na kwa kweli nimeamua kuanza ufugaji wa bata wa kienyeji (bata maji) ila ninapenda...
Natafta chumba cha kupanga kilichopo bagamoyo road kuanzia pale darajani kwenda mpka mwisho Africana, kiwe karibu na barabara bajet yanguni kuanzia 100k mpka 150k.
Mawasiliano: 0710299840
Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya...
Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako.
Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika...
Natoa huduma zote za psychometrics. I am a certified psychometrician kwa miaka mitatu Sasa. Kwa wale wote wanaomba kazi au wanaotaka kupanda madaraja kazini tunawasaidia kulingana na mrejesho wa...
Uvimo Maktaba
UVIMO tunafaya kazi zote kwenye nyumba pamoja na mafunzo
Tunatambua ahadi yetu ya kuangazia namna Uchaguzi wa ramani inavyoweza kuongeza gharama za ujenzi.
Je, uchaguzi wa ramani...
Piece moja yenye upana mita 1.5 unaipata kwa sh.25,000tu.
Piece moja yenye upana mita 2 unaipata kwa sh.30,000tu
Kama utahitaji fullset kama set namaanisha matatu yaani Mazito mawili na moja...
Upendo mkubwa wa watumiaji wa simu za #xiaomi umezidi kuongezeka kila simu, wengi walianza kwa kujaribu kutumia hii simu ya bei ya chini zaidi kuliko zote za #xiaomi inaitwa #redmi9a. Yes wacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.