Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wanabodi, Haya ninayoandika ni kama utani vile lakini ndio ukweli wenyewe!, Jee wajua ya kuwa, kuna watu wenye bahati na na wengine hawana bahati?. Wenye bahati, mambo yao yanakwenda vizuri na...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Msaada jaman hivi kuna mawakala wa usafilishaji kutoka U. S. A to Tz maana kuna mzigo nataka ninunue huko ila changamoto ipo kwenye kuuleta huku mzigo au mwenye maelezo yoyote kuhusu hili msaada
1 Reactions
12 Replies
869 Views
Samsung Galaxy A32 for Sale Internal Storage; 128GB 64 MP Back Camera 20 MP Selfie Camera Super AMOLED Screen Android 11 On Screen Fingerprint Scanner Price: tsh.650,000/= Call/text/whatsapp...
1 Reactions
14 Replies
37K Views
Samsung Galaxy A32 Bei:750,000Tsh PHONE:0622666111 RAM:6gb internal storage 128gb camera:64MP+8MP+5MP+5MP battery:5000mAh,fast charging 15w Os:Android 11, One UI 3.1 Network:LTE warranty:samsung...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
.
3 Reactions
7 Replies
788 Views
Bado ni mpya iko kwenye hali nzuri kabisa Iko Kimara Dar es Salaam Tuwasiliane kwa 0679188106 Bei ni Tsh. 240,000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Suzuki carry namba C inauzwa bei Mil 3.5 Haina tatizo lakiufundi ila utahitaji ghalama za vibali. Maongezi kama kawaida Mawasiliano 0621041201, Dar
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu umuofia kwenu, Natambua jforum kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kujuzwa wapi nitapata maduka ya hizi mashine za pop corn kuanzia watt 1300, je kwa kkoo nitapata ? Ni mitaa gani au maeneo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji kabla ya weekend niwe nimeshapata. Muda huu nipo njiani kwenda kiwangwa. Nimeelekezwa kua ndio shambani huko, nikanunue kwa mkulima. Napokea direction za ziada. Pia kama kuna kampuni...
1 Reactions
2 Replies
678 Views
Ipo katika hali nzuri sana, wala haina tatizo lolote; pia ni nzuri kwa kusomea hususa kwa wale wenye matatizo ya kuona vzur kioo kina inches 7.0 Full tablet specifications [emoji116][emoji116]...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Vp Wanajamii, Hizi frem za K.koo lazima ujipinde kweli ili kuweza kuipata. Kwa wale wenye ufahamu juu ishu ya vilemba naomba mtujuze. Je vina cheza kwa bei gani, kwa mfano kwa frem zinazo face...
1 Reactions
5 Replies
844 Views
Weka kazi zako mwenyewe hapa za furniture za uhakika . Tuone upate kazi. Kazi ziko nyingi sana.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Simu ina miezi miwili tangu itoke dukani. Exchange kwa mwenye samsung A10s aongezee na hela tutakayokubaliana. 4GB RAM, 64GB storage 5000mAh battery Fast charging, type c charger,inajaza...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
refridgerator
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau wangu wa Jamii forums Nauza Samsung 32' lcd flat screen kwa bei ya Tsh.150,000/= TV hii inachangamoto ya kuzimaa kilaa ikipata moto sihitaji kuipeleka kwa Fundi anayehitaji ajee achukue kama...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu naombeni mniambie ni wapi nitapata kahawa ilosagwa kwa Dar nina shida nayo sana, ni wapi zinauzwa, yaani chimbo lake liko wapi? Na bei pia.zipoje? Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums...
3 Reactions
10 Replies
955 Views
Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
CORN THRESHING MACHINE -0686 316 748 Hii ni Mashine nzuri yakupukuchulia mahindi na ni mashine ya kazi na inauwezo wakupukuchukua tani 10 kwa siku na iko ya umeme na petrol. Bei zake:- Electric...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana Mwanza, Nigependa kujua bei ya za fremu zina range kwa kiasi gani cha pesa mjini kati mwanza. Mitaa ya liberty, makoroboi, dampo, etc. Karibuni.
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom