Ninauza pasi original za Philips!
Hizi ni pasi bora na imara mno,ukiinunua na kuitunza vizuri ni mkataba wa kudumu, Hizi pasi ni mpya na zipo kwa box zake.
Kwa bei za dukani zinauzwa 45000-50000...
Tunauza samaki wa maji chumvi
Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu
Kwa kilo tunauza 7500
Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua.
Wasiliana nasi kwa namba...
Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana.
Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
Wana jamiii nimekuja leo sina cha ziada zaidi ya kuuza ujuzi wangu nilioupata darasani kwa miaka takriban mitano.
Basi ipo hivi, kama unataka ramani ya aina yeyote ile tutakufanyia kwa weledi wa...
HP NOTEBOOK
intel celeron
2.4ghz maxspeed
500 GB HDD
4GB RAM (unaweza pata 8 GB RAM ukiongeza Tshs. 50,000)
15.6 INCHES
Inakaa na battery kwa lisaa 1 tu na sio zaidi.
Bei yake ni Tshs. 300,000...
Tuna design business cards za kisasa kwa gharama nafuu. Utatumiwa business card yako kwa mfumo wa image, then utaweza kuprint mwenyewe kwenye stationery yoyote ile iliyo karibu nawe.
Gharama ni...
Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako.
Kwa mawasiliano zaidi...
Viwanja viko vitatu.
vyote vina hati za serikali
umbali ni km 1 kutoka lami.
size ni sqr m 600 kila kimoja
(30m*20m)
Eneo lina umeme
Bei ni 25mil
0713096076
Ndg ikiwa wewe ni mdau na una magari ya kusafirisha mizigo tafadhali tuwasiliane baada ya kukubaliana na bei elekezi. Tunalipa $7,700
lakini pia kuna hakika ya mzigo wa kurudi.
Wasiliana nami...
True_garden_designers tunatengeneza garden/bustani nzuri za nyumbani,hotelini, shuleni,kanisani,na maofisini,zenye muonekano wa aina mbali mbali. Popote tunakufikia ndani ya Tanzania.
Tutafute...
BILL COUNTER MACHINE-0686 316 748
[emoji832]Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services
[emoji832]Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.