Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hello JF, Poleni sana na majukumu yenu ya kujenga Taifa, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Nina tafuta electronic weighing scale tatu, zenye uwezo wa mpaka 150kgs, kwa yeyote au mwenye...
0 Reactions
4 Replies
761 Views
Wana JF habari ya wakati huu. Nahitaji kununua bitumen carpet zile ambazo huchomelewa sehemu ambazo zinaweza vujisha maji hasa zege la floor slab. Naweza kupata wapi hiyo bidhaa kwa anayeuza kwa...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Full paid documents, Well maintained Engine Type 2nz, Engine capacity 1290 Haina tatizo lolote, Full aircondition Imerudiwa rangi smart, Haijafunguliwa engine, Bei Tsh. milioni 9.5 Maongezi yapo...
1 Reactions
3 Replies
935 Views
Passo 2005 YOM 3 piston Engine problems 3.6 millions TSH Makumbusho Dar es salaam +255714908121
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Inauzwa, haina shida yoyote Bei 3.5mil Ipo Dar. 0713096076
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Kama picha zinavyoonekana wadau,hii TV inauzwa, ina ubovu. Tatizo: Mtoto aliiangusha ikapiga 'kleksi'. Inawaka vizuri na kuonesha ila picha sio nzuri tena. Kwa mujibu wa mafundi inatengenezeka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wale wakali wa decoration, Wapaka Rangi za aina mbalimbali, karibu ununue rangi kwetu na utapata maji ya kunywa buree Rangi tulizo nazo ni 1.Drewa (mineral stone) kg 25 2.Cone mix (Terrasit) kg25...
5 Reactions
54 Replies
7K Views
Wanajamvi habari kuna vitabu hapa vya wanafunzi wa masomo ya science naviuza kama ifuatavyo 1. Understanding biology for Advanced level 20000 Tsh 2. Pure mathematics 1st edition@ 10000 Tsh 3...
1 Reactions
1 Replies
966 Views
Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Used Telefunken home theater speakers Model: TXM 5100A 1040Watts Location: Kibaha Bei: 300,000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CONTENA ZINAUZWA FUTI~>40 LOCATION : MBAGALA BEI: MILLION 7 @ MAONGEZI YAPO FULL DOCUMENTS CALL ME ~>0762815104 #WHATSAPP ~>0762815104
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua - kwa anayefahamu - mahali ninakoweza kununua chupa tupu za glass za robo lita, nusu lita na lita moja kwa ajili ya kuhifadhia vitu mbalimbali. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
633 Views
Jipatie T shirt Kali za Mtumba Kwa ubora wa hali ya juu na bei nafuu..zinapatikana dar Kwa bei ya Tsh 20,000..call/what's up 0744002351
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Dar Es Salaam Darasa la CISCO-CCNA litaanza tr 01/03/2021, uandikishaji umekwisha anza. Karibuni sana: Muda: 1700-2100HRS - 4 hrs/ day Tr: 01/03/2021 - 16/04/2021 -WIKI -7 Ada: Tshs. 700,000/=...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Used in good condition Tajiri anahamia DODOMA Kwa maelezo ya kuchosha gonga 0715193810
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya perfume hizi zenye harufu nzuri sana tuwasiliane no. 0653405342....Bei nauza tsh.7500 Kuna Maryam perfume, salaam perfume, Al rehan perfume, Dirham perfume n.k Napatikana mbande Dar
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello guys Nauza viungo vya chakula vya Aina mbali mbali Kama; Karafuu Iliki Pilipili manga. Mdalasini. N.k
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali. Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa...
0 Reactions
7 Replies
971 Views
Wana jf karibuni mjipatie viti vya ofisisi kwa kila kiti unapata kwa bei ya laki 250,000 viti vipo vizur sana PIGA 0677423349 tukuletee ulipo Kama wewe ni mkazi Wa dar es salaam location ni kigogo...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom