Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
MFUMO WA KUANDALIA RATIBA YA MASOMO MASHULENI. Mfumo huu umetengenezwa mahususi kwaajili ya kurahisisha kazi ya uandaaji wa ratiba ya masomo shuleni. Kazi kuu ya mtumiaji ni 1. Kuingiza taarifa...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Salaam, nyumba ya kupanga inatafutwa Mkuhungu Dodoma: 1. Bei 250,000 2. Uwezo wa kulipa mwezi 1_ mitatu 3. Iwe karibu na maeneo ya shule za Tumaini, St Home au Chemchem
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni hoteli ya kisasa ambapo mtalii unaweza kujionea wanyama mbalimbali kama swala pala, zebra , nyumbu ngiri na jamii ya wanyama wengi wala majani. Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200. N:B...
4 Reactions
90 Replies
7K Views
Habari mabibi na mabwana! Tunauza vitu mbalimbali used ambavyo mostly ni vitu vya ndani Kama: Friji Vitanda Sofa Magodoro size mbalimbali Bufa/redio Tv aina mbalimbali Zipo pia cherehani...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Ndugu wanajukwaa natafuta, kiwanja cha kununua mkoani Mwanza kama inavyosomeka hapo katika kichwa cha huu Uzi. Sifa: 400SQM, kiwe kimepimwa, kinafikika na barabara, hakina mgogoro wowote na pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
used smart tv : inch 43 imetumika miezi 3 Kampuni: homebase Ina :warranty,boksi,stand ya ukutani na chini, remote na waya zake Eneo: Dar-es-Salaam, Ubungo Riiverside Bei: 650,000 Contact: 0712518770.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
[emoji1485]Imetumika kiasi na bado ipo vizuri. [emoji1485]Unaweka laini mbili. [emoji1485]Ina face unlock na uwezo wa 4G [emoji1485]105,000/= tu pamoja na delivery dsm pekee. Piga/whatsapp...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina mashine ya kushona na kudarisi mpya from Japan, brand ni Janome 1012 na singer 8280. Bei ni laki 5 karibuni wawekezaji. Napatikana DAR
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Ramani ya vyumba vitatu kimoja masta, sebule , dining, jiko, stoo na choo cha kushea, ukubwa wa Ramani mita 9/kwa mita 10...nichek 0627571649
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nilipoteza line yangu ya safaricom majuzi, kuna mtu anauza blanks kwa ajili ya replacement? Kama upo tuonane inbobo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunajihusisha na uuzaji na usambazaji wa tangawizi, bei 1kg=800tsh Gunia kubwa(debe 12)=lak 1.4 Ni fursa kubwa kwa wafanya biashara za viungo na viwanda vinavyojihusisha na bidhaa za...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila...
8 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarii za usiku wana Jf polen na majukumu. Kijana nimejichanga sasa naitaji kiwanja cha million 1.5 na mm nianze mchakato wa kutoka ktk nyumba za kupanga asanten sana, kiwanja kiwe DSM. Nawasilisha
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam Naomba msaada wa kujua duka linauza spare parts za Nissan Xtrail. Nahitaji clutch na pressing yake. Gari ni manual Natanguliza shukran
0 Reactions
7 Replies
1K Views
4TB Transcend External HDD used but in mint condition. Ipo Dar Es Salaam. Call: 0712198128 Price: 250,000
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Habari wana JF, Natafuta siagi za karanga, parachichi, kahawa, embe, shea butter, Sea moss, Bentonite Clay. Brown sugar, wheat etc Pia natafuta (Not oils) Rose water, Aloe Vera(organic)...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dell Latitude E6330 RAM: 8GB HDD: 500GB Operating System: Windows 10 | 64-bits CPU: Core i7 | Speed: 3.0GHz Battery Autonomy: 3hrs Status: Good condition Location: Ubungo, Dar es salaam Price...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
FURSA! FURSA!FURSA [emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91] 1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta dawa za kutibu maji zile zinazotumiwa na idara ya maji kwenye matank ya maji wanakouza jumla
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kujua jinsi gani naweza pata makala za kitambo nimejikuta nawamisi akina lodi lofa mapungo pimbi baba ubaya na wengine wengi nimejaribu google sipati mzigo kamili
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom