Nauza printer mpya Epson L810, inaprint picha, CD, ,business card za pvc n.k.
Bei ni shilingi laki saba na nusu (750, 000). Bei ya shop ni mpaka mil.1.
Nicheki 0713767579
Habari wakuu.
Jamani haka kagari nimekapenda. Engine yake ndogo 1090cc, kamenyanyuka juu halafu ni Manual. Nataka kukanunua kwa matumizi ya kuendea kazini. Nisaidieni ushauri kwa wanaojua gari...
Habari za kazi wakuu,
Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji...
Wauzaji wa samaki wa maji chumvi aina zote na bei raisi tupo DAR kivukoni,tunakuletea mpaka ulipo lakini tunakusafirishia Kama upo nje ya DAR.
Call/SMS 0711756654 na WhatsApp 0719438200
Habari nauza pikipiki aina ya tvs 125(used),iko dar es salaam kijichi. Bado iko vizuuri sanaa,injini haimjui fundi, full documents,na bado ina bima.
Bei ni 1450,000 (mazungumzo yapo) ukihitaji...
Ndugu zanguni heshima kwenu!
Jamani nimedondosha digital camera imekata kile kikaratasi kinachounganisha mawasiliano ya screen na camera yote, imesababisha camera ikiwaka kunakuwa na gizo tu...
Kwa mkazi wa Dsm..yeyote ambae ana dish la satelite,yale meupe, ya bati,la futi 8,naomba anicheki inbox tufanye biashara..nna matumizi nalo..liwe Used,sitaki jipya
Mfano wa dish hilo ni kama hilo...
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, kwa sasa nina soko kubwa sana la mayai ya kienyeji. changamoto ninayoface ni supply na bei ya kununulia.
Nahitaji mtu wa kunisupply Kuanzia tray 20-40 kwa week kwa...
Mwanafunzi wa chuo kilichoo maeneo ya Science anatafuta chumba cha kupanga ambapo anaweza kufika chuo kwa kupanda basi moja. Maeneo ya Riverside Kijitonyama yatapewa kipaumbele.
Hiki nikifaa chakutengenezea chapati
Inatumia mkono
Haitumii umeme
Bei ni. 40,000 tu
Dar Es salaam unaletewa
Mkoani tunatuma
ULIPO TUPO NA CHAPATI TAMU
0719257400 Karibu WhatsApp
ree-classic-store
Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi.
Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji...
Wakuu natafuta chumba Moshi maeneo ya karibu na KCMC..Chumba chenye choo ndani.
Bajeti yangu ni 70k-90k kwa mwezi.
Mwenye connection tafadhali naomba msaada
An example of a composting plant to be built in Dar es Salaam and neighboring townships
1. Introduction
Kibanga Vision Health Services Limited (KVHSL) is a private company registered in Tanzania...
OFFER. OFFER. OFFER
Fursa kwa wafanya biashara na watu wote. Jipatie raba kali za kike kwa shilingi elfu kumi na tano.
Napatikana Karia koo
Dar es salaam
0620239355
Wanajamii,
Naombeni ushauri nataka kumpeleka mwanangu kati ya shule hizi kuanza darasa la kwanza (grade 1) - Al Muntazir Boys Primary au St. Laurent Primary.
Ipi shule nzuri kati ya hizi mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.