Habari,
Nauza Harier yangu mil 21.5 ni 2wd,
CC 2390 vvti engine ndogo,
Dashboard iko vizuri haijakatika,
Engine ni kavu kabisa
Gari ipo Dar es Salaam
Contact 0714787795
Wakuu salaam,
Gari langu Mitsubishi Fuso nilinunua likiwa na body la Alminium so nimeamua kubadilisha na kuweka body imara zaid
Nauza lile body la Alminium ambalo limekuja na gari.
Mtu yoyote...
Nimeona watu wengi wanavyohaha kuhusu ujenzi pengine sio kosa lao...unakuta mtu anapambana na kujenga nyumba kubwa mwishowe inamshinda.
Kama leo nimewaletea Ramani ya chumba kimoja masta, sebule...
Wanajamii naomba kuuliza ni mkoa gani hapa Tanzania wanalima ngegele kwa wingi na zinalimwa kuanzia mwezi gani. Nataka kulima hili zao kibiashara zaidi.
Mahali: Mbezibeach
Bei: Tshs 150,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 150000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Chumba choo ndani na Sebule. Choo cha nje Kipo.
Ndani ya...
Banda jipya la Uwani lenye Chumba na Sebule na Choo chake cha ndani (Sio masta) linapangishwa Sinza.
Nyumba ina Tiles, Gypsum na Dirisha za Vioo. Na ipo na Parking kwa ajili ya Gari moja...
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi Mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Vyumba viwili vya kulala, Sebule, choo ndani...
Natafuta mtaalam wa mifugo ambaye atakua na certificate au diploma ya Mifugo kwaajili ya kusimamia Shamba la Mifugo ambalo linajihusisha na ufugaji wa Nguruwe na ndege kama kuku..bata etc.Ni vyema...
#SISITANZANIA #WETANZANIA - KIJANA CHANGAMKIA FURSA KATIKA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA.
Kama Vijana wa Tanzania tumekuwa na taarifa juu ya Miradi Mingi sana ambayo serikali yetu imekua ikiendelea...
Kwa wale wote wenye nyumba za kupangisha tafadhali tuweke taarifa zetu hapa.
Na wale wanaotafuta nyumba za kupanga tuweke taarifa za nyumba tunazotaka hapa.
Maana madalali ni stressful.
Karibuni
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 150,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 150000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Chumba choo ndani na Sebule. Choo cha nje Kipo...
Wadau wanaopenda kuishi kisasa,njoo uchukue microwave used kwa bei ya kusafishaa stoo.
Model ni Matsui na Hussel Hobbs 17litres kwa shilingi elfu 60
Tupo Mabibo external Dar es salaam.
Mobile...
Mahali: Mbezibeach Tangibovu
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6.
N.B: Malipo ya Mwezi mmoja kwa dalali ( 250,000 )
Mawasiliano: 0686 648630
Vyumba 2 vya Kulala, Sebule, Jiko ndani na...
Ni mfumo wa kitechnologia unaomwezesha mtoa huduma/Mfanyabiashara / Company kuwa karibu zaidi na mteja kwa njia ya messages. Tofauti na mifumo mingine, 2WM inaoption ya Chatting baina ya company...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.