Tunauza na kukodisha magauni ya harusi kwa bei sawa na bure. Kuuza ni kuanzia 250,000/- kukodisha ni kuanzia 100,000/- 130,000/- 150,000/- hadi 200,000/-.
Tunatoa huduma ya chakula kwenye sherehe...
Bado unasumbuka na mtoto asieongezeka uzito karibu Lily lishe kiboko watoto wasioongezeka uzito unga wetu ni msafi umezingatia uwiano wa nafaka usisumbuke kukabana na mtoto Karibu uone tofauti...
Hello wanajamii mnoishi Dodoma, ningependa kujua bei ya material hizi za ujenzi.
1. Gypsum board gyproc
2. Gypsum board bbg au ya china yoyote
3: Tiles 40 x 40, 25 x 50(45) za twyford au goodwill...
64gb, no scratch no dent
Ina wiki mbili tangu itoke Dubai
Alikuwa anaitumia binti wa mfalme wa uarabuni
Ipo Mbagala.. kariakoo unaletewa
Unapewa na chaja yake
Bei 250k, wa 200k msinitafute
Piga...
Used bt its on exellent condition
500 GB
1 controler
Hdmi, usb and power cable
2 top games cd
- uncharted 4
- call of duty 3 black ops
Iko na 3 bonus acessories
- back cooling fen
- power bank ya...
Nyumba ipo mwembe mdogo Kigamboni
Ina vyumba vitatu kimoja master sitting
Room jiko na public toilet Bei milioni thelasini na tano (ml 35) ipo mita 200 toka lami ilipo nicheki...
Lg inch 32
Ina king'amuzi cha ndani kwa ndani (channel 7)
Ina remote control
Ina stand zake za chini
Bei 300,000 fixed
Haina tatizo but nashida nadaiwa kodi
Loc. Dsm kawe
0713096076
Habari zenu wadau wa kilimo? Naomba msaada wa maelezo ya tractor hlenye hp 50 na kuendelea.
Pili kujua ni lipi zuri kati ya 4 wheels drive na 2, tatu upatakinaji wake
Sent using Jamii Forums...
Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene
Inapatikana Ubungo Dar es salaam.
Njoo pm tumalize biashara
Nauza viwanja, vipo Chanika Zingiziwa (Dar es Salaam) km. 1.7 toka zingiziwa center. mita 20X20 (Tshs. 2,500,000/-) na 20X25 (Tshs. 3,000,000/-), kama uko serious tuwasiliane 0682826776
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.