Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari za wakati huu. Nikwamba nahitaji pondliner kwa ajili ya ufugaji wa samaki, yoyote anaejua upatikanaji wake naomba masada tafadhali! Asante
0 Reactions
0 Replies
388 Views
💫Njia ya Cold Press ziko namna 2,kwa kutumia Tui na kutumia nazi kavu,kaa nasi tukueleweshe; ⚡nazi zilizokomaa huvunwa kisha hukaushwa ili kuondoa Tui kubakiza mafuta.Zipo namna 2 za kukausha kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*MICHIRIZI* [emoji830]MICHIRIZI ni sehemu ya ngozi iliyokufa..kama kovu vile....Ngozi ikifa hata seli za ngozi zinapozalisha ngozi mpya pale inashindwa kuonekana maana tayari ile iliyokufa iko...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 lililopo eneo tajwa hapo juu. Eneo hili lipo karibu saana wastani wa dakika tano kwenda chuoni kama litatumiwa kujenga hostel. Linafaa pia makazi nk. Umeme upo. Bei...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Gari ipo katika hali nzuri tuwasiliane whatsap kwa namba 0692235221
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Je wewe ni Mjasiriamali unayetaka kurasimisha Biashara yako Masoko Consultant Tumeanzisha Kitengo maalum kwa ajili ya kukusaidia katika kufanya Mchakato wa Kurasimisha Biashara yako kwa...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri! wakuu, mzigo umetoka! kama uko interested in Diploma in financial market operations Diploma in Capital Debt markets Diploma inSecurities & Derivatives Huu mzigo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Stop over auto parts, wataalam wa kuuza spares za Coaster aina zote na magari aina ya Coaster used,tumekuwa tukiwasaidia wanunuzi wa Coaster Used mambo muhimu ya kujua kabla hujanunua Coaster...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza kifaa kimoja kinaitwa nextbase dash cam ni camera inayofungwa ndani ya gari kwa ajili ya kumonitor nyendo za gari. Unaweza kuona matukio ya ndani ya gari ukiwa Popote pale kupitia simu yako...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Samahani wakuu nani anafaham viwanda vya samaki mwanza huwa mara nyingi vinanunua samaki kilo kwa bei gani? Ukitokea mtu una labda tani tano za sato au sangara
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Registration ni A, but gari ni kama mpya......engine ni 1NZ manual transmission SIO automatic....gari haina tatizo lolote zaidi ya kuwa manual[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Gari ipo Dodoma...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii kitu Arusha tunaipata ata Grocery ya mtaa lakini kila mkoa +Dar es salaam kupata ni shughuli Kwingineko ata hawajui kama kuna kitu ka iyo. Unamuuliza muhudumu yaani ata hajui kama kuna kitu...
1 Reactions
4 Replies
615 Views
Wakuu, nina shida na lines za chuo kwa upande wa Halotel na Airtel, mwenye kujua namna ya kuzipata anisaidie. Lengo langu ni lines hasa kwa ajili ya internet tu, sitaki madakika mm. Maisha...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakuu, Nahitaji kununua pull table used iliyo katika hali nzuri Nicheki pm kama unalo au unajua anaeuza [emoji120]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Eneo hilo kwaajili ya kujenga hotel au camp site, lipo pembezoni mwa hifadhi ya ruaha national park, barabara imechongwa mpaka hapo kwenye eneo. Eneo limepimwa na hati ipo, ukubwa ni ekari 50, na...
2 Reactions
11 Replies
762 Views
Jipatie car washing Mashines kwa Tzs 300,000/= na Tzs 400,000/= mpya na zenye warranty ya mwaka mmoja. From RONIX A Premium Quality Products. Sifa Zake: 1. 110/160Bar Sawa na 1600Psi/2300Psi...
1 Reactions
2 Replies
913 Views
Nahitaji TV inch 50 iwe hisense, lg, Samsung au brand inayofahamika ofa laki nane kamili, nipo Dar es salaam iwe haina kipengele chochote call/whatsapp 0753285898
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kimsalaba cha chuma kama hiko katikati hapo kwenye picha. Kwa hapa Dar, duka linalouza vifaa vya aina hii linapatikana wapi? Msaada please
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii mifuko ninayo ya kutosha hata ukitaka 100, nitafute kwa hizi no 0654757823 tufanye biashara Mahali Dar es salaam mikoani nakutumia
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom