Anahitaji kufanya biashara ya samaki fresh kutoka Mwanza ziwa Victoria awasiliane na mimi nauza in bulk.
Pia wanaohitaji samaki kwa matumizi ya nyumbani karibuni tunauza ndoo kubwa na ndogo kwa...
Karibu sana
Kiwanja kiko Jijini Mwanza.
Kata: Muhandu
wilaya: Nyamagana
mtaa: Galilaya
kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa
ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu.
Miundombinu yote...
Wakuu habari za majukumu,
Nilikuwa nahitaji laptop used ya kununua .specification ziwe hizi processor core 5 au 7. Generation ya 5 au ya sita HDD 500gb bajeti yangu Ni 400000 - 500000...
Habari watu makini.
Nieandaa project au mapango wa kufuga kuku inarange 10m to 15m, kwasasa niko Dar lkn huu mpango naenda kuufanyia Tarime cz ndo naishi huko.
Nahitaji Mtu ambae atasimamia huu...
Wakuu nitangulishe shukrani kwa wote mntaokuja tembelea uzi wangu. Idadi ya viroba ni zaidi ya 300 vilikuwa ni vya gysum ya good one kwa mwenye mahitaji ya viroba anicheki bei 300 kila kimoja...
Ac aina ya panasonic1 horse power inauzwa bei laki tatu na nusu (350000) imetumika miezi mitatu tu ipo kwenye hali nzur sana inapatikana mwananyamala karibu na royal bar rimot yake imepotea ila...
Ni saaa nzuri za kisasa za ainatofautu
Zinapatikana kwa bei na fuu
Pia mzgo unaweza kutumwa
Au kuletewa popote ulipo
Kwa galama nafuu wai sasa
Mawasiliano ni 0719257400
Niko dar maeneo ya Yombo Dovya
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO.
Usafi wa maofisini
Usafi wa majumbani
Usafi wa mashuleni
Usafi wa viwandani
Tunaandaa na kuboresha bustani ya maua(Garden)
Usafi baada ya kukamilika ujenzi
Tunapulizia...
wanajamvi habari zenu
Mimi ni kijana ambae natafuta wateja wa Asali
Asali hii ni ya tabora kwa wanaojua au kusikia kuhusu asali ya tabora wanajua ilivo haina uchakachuaji wowote ni asali halisi...
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"
BIASHARA ZETU NI ZA ANA KWA ANA NA SIYO MTANDAONI. LAZIMA MTEJA AFIKE OFISINI NA SHAMBANI
(1) Tunao mitamba ambao hawajapandwa ila waweza pandwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.