Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine (strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri!
Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku...
Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti)...
Wonderful group limited
Kwa mahitaji ya mashine za kusafisha maji kama kuondoa chumvi, magadi, iron harufu mbaya , kubalance PH ya maji , kuboost calcium na kuondoa chemical hatarishi kama...
Wakuu kwemai
Hope mko poa naombeni msaada wenu mimi ni mgeni hapa mwanza kuna insu imenileta huku sina uenyeji na mitaa ya huku naombeni kwa anaefahamu anijuze naweza kupata wapi jezi OG ya...
Ayshire
Amezaa Mara mbili
Mimba - miezi 4
Production - Lita 15-20 ( akiwa amezaa ) ng'ombe mzuri sana wa maziwa .
Yupo Dar , ada ya chuo inaitajika haraka
Njoo na daktar wako amkague na...
Mashine za kutengeneza mkaa wa taka zinarahisisha sana Maisha ya wajasiriamali mbali mbali.
Piga 0756 591 943. Tukuletee mashine hadi nyumbani.
Tukianza na taka zinazotumika kutengenezea mkaa...
Karibuni smart collection ni wauzaji wa suti genuine kutoka Italy na Uturuki
Suti zetu ni slim body
Size 32mpka 40 unapata
Kwa bei ya Tsh 250,000
Utapata koti kizibao na suruali
Tuko kariakoo...
Wakuu,
FRIJI liwe na sifa zifuatazo
Used kubwa 1.5 au 2 size
Lisiwe chakavu
Lisiwe na hitilafu yoyote
Linaweza kuwa Aina ya Boss and the like but the Boss much prefered..
Uwe tayari...
Karibuni mjipatie mtumba mzuri kwa bei ya jumla ya shilingi elfu 3 tu ukichukua nguo kuanzia 20.. Rejareja ni elfu 6 ... Namba kwa mawasiliano zaidi ni 0738664971
Ukurasa wangu wa instagram ni...
Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia.
Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba...
WapambanaJi..
Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).
Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,
Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano...
Jipatie viwanja kwa Bei Poa Kabisa
SQM 1 hadi TZS 7500
Heka Moja hadi TZS Mil.28
20*20 hadi TZS Mil 3.8
Umbali kutoka Kibada KM 2
Umbali kutoka Kiwanda cha Maji ya AFYA KM 1.2
Umbali kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.