Natamani kujua gharama za mashine ya kukamulia alizeti na kuchuja.
Pia uwezo wake ni mhimu sana nikafahamu. Nina ndoto za kuingia kwenye tasnia ya usindikaji
Nitashukuru nikipata msaada wenu
Habari wanajamii
[emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami
[emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters
[emoji213]Public Toilet moja
[emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko...
Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana...
Nauza vichwa vya cherehani aina ya JONES 1681 na aina ya CRESTA
Vichwa vyote viwili shilingi 400,000/-
Vinapatikan Singida Mjini.
Mawasiliano 0674212048.
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na...
FURSA! FURSA!FURSA
[emoji389][emoji389]VITENGE TOKA CONGO NA VIJOLA KWA BEI NAFUU.[emoji56][emoji294][emoji91]
1:[emoji389][emoji3060]VITENGE ORIGINAL VIZITO TOKA CONGO pis 3.....jumla 23,000/=...
Naomba kujuzwa, ipi ni betri mzuri kwa matumizi ya umeme jua kati ya zile kavu na za maji??
Napata mkanganyiko kwa sababu kuna mtu ameniambia betri kavu si mzuri kwa vile hazina mbadala na zile za...
Shamba linaukubwa wa heka 1.
Lipo Lushoto Tanga.
Shamba lipo kando ya chemchem kama inavyoonekana kwenye picha.
Shamba la kulima safi kabisa.
Piga simu0712773128.
Bei milioni 8 na maengezi yapo.
Tecno is one of the makers making great progress in the budget and midrange segment in the past year. Its Camon 17 series offered large screens, ample battery life and respectable cameras and we...
DEPO YA VINYWAJI INAUZWA KAHAMA
Nahusika na uuzaji wa bia za kampuni ya TBL pamoja na soda za kampuni ya COcaCola, pamoja na pombe zingine kama konyagi, kvant n.k.Kwa ujumla mzunguko ni mkubwa...
Plot Zipo cheka kigamboni zimebaki mbili
Kwa pamoja Bei ya awali ml 4 kila moja sasa Bei ya punguzo kwa zote mbili ml 5.5
Ukubwa no 20×20 zipo karibu na chuo Cha Silva una weza Jenga hostel...
Zile taa za picha ya piano bado zipo sasa bei imepungua offer ya mwisho wa mwaka ilikuwa 20,000 ila sasa ni 15,000/=tu
Inamwanga unaopendezesha ndani ikiwaka picha nzuri kabisa ya piano
Unaweza...
Tunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na...
Ndugu zangu naombeni mwenye kufahamu zinapopatikana mashine za kufyatulia tofali za udongo ambazo huchomwa.
Nimeambatisha picha, ni vyema zaidi nikafahamu na bei ya mashine yenyewe.
Shukrani...
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.