Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta wauzaji wa hizi pikipiki hapa Dar es salaam Shukrani Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Camera ya Kununua Kuanzia Canon 500D. Kama kuna mtu anauza anitajie bei gani. 0716723263
1 Reactions
1 Replies
1K Views
PS 2 na Pad zake inauzwa kwa 70,000 tu Haina tatizo lolote Ipo Mbagala Cont: 0628674204
2 Reactions
7 Replies
682 Views
SABUFA ZA MAGARI NA BAJAJI ZINAPATIKANA DISEN SUBWOOFER Subwoofer yenye Amplifier ndani: inch 10", Watts 1000 Mdundo Kama Wote[emoji344] Kwa ajili ya Gari lako au Bajaji Bei 90,000/= Tupo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini muda huu wana jukwaa. Lengo na dhumuni la thread hii ni kuwajulisha wale wote walio na uhitaji wa kutumia simu janja aina ya Infinix hot 10 huu ndio wakati wao. Simu ni used kwa muda...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Bei ni 5mil. call 0713096076
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Kwa wale mafundi masofa ya kukalia na vitanda vya masofa au wenye maduka ya magodoro popote nchini nakutumia tunauza kwa kilo hii kwa mafundi inasaidia kwenye suala la baheti pia ni biashara kwa...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Njoo ujichukulie IST bei mil9 tu Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
758 Views
Wahli Tyres Center tunauza Tyre na battery za magari Aina zote kuanzi madogo mpaka makubwa kutoka nchi tofauti Tyre tulizonazo zinatoka USA, Italy, South Africa, China, Japan, Korea, India Tyre...
7 Reactions
431 Replies
51K Views
RAM: 4GB ROM: 64GB BEI: 370K NIPO UBUNGO DSM NICHEKI: 0713111621
1 Reactions
6 Replies
670 Views
Nyumba ya vyumba vitatu,kimoja master, Bei milioni 38 Ina hati Ukubwa wa Kiwanja ni nusu eka Ipo Mlandizi kilanga langa, Toka morogoro road umbali mfupi kwa kutembea kidogo tu Kwa muitaji karibu pm
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa wale mlioweza kusafirisha vitu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine naomba ushauri mliwezaje? Kama kuna kampuni unaijua au inajishugulisha na kusafirisha vitu(furniture kitanda,sofa,kabati...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu ya kila siku nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa kutengeneza viatu vya kimasai anitafute kwa namba 0718569056 tupange jambo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAUZA SIMU samsung A10s, used like one year GB32 RAM 3 4G speed 165,000 Ipo Dar matumbi. 0713 096 076... piga simu punguza comments
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Plot ipo cheka Kigamboni Ina ukubwa wa mita 13×20 Bei milioni mbili tu kipo karibu na chuo Cha Silva nipigie simu 0713672719 0787672719
3 Reactions
7 Replies
890 Views
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa. BEI 80000 MAONGEZI YAPO. KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ist DMU Full document Full Ac Cc 1490 Price M8.5 0713096076 simu moja unakagua gari, at Yombo Dar es Salaam.
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Madefreezer mawili yapo sokoni Yanagandisha vyema La bruhm limetumika mwaka tu bado ni jipya kabisa good as new kwa 1.4m Hili jingine 550,000 Piga/whatsapp 0676169893 Yalikuwa buchani nimeifunga...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Bein sport king'amuzi Kinawafaa zaidi wapenda soka Bundle lake huuzwa dollar 100 za kimarekani kwa mwaka. Bei ya king'amuzi nauza 250, 000. Bei haipungui. Kipo dar
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom