Habari za Jumamosi;
Wengi wameathiriwa na machaguo wanayofanya katika safari yao ya kitaaluma.Madhara hayo wameyapata ama kwa kufanya vibaya katika mitihani mbalimbali,kukosa ajira/fani au hata...
Habari za Leo wanafamilia?
Tunauza Samaki wabichi aina ya Kumba/Sato/Tilapia kutoka Rufiji kwa bei Tsh 10,000/ kwa kilo. Samaki hawa ni wakubwa wa size ya juu na kati ambapo uzito wao huwa gram...
Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro.
Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale...
HOT Gun mpya ,inafaa kwa matumizi mbalimbali hasa uchorajinwa picha kukaushia picha ,lkn kukaushia vitu vilivyoingia maji hasa electronics
LOCATION ,BAGAMOYO
Bei ni 50,000
SIMU :0733283372
ni mpya kabisa ,inatumia betri triple A ,ina light pointer red ,kwa ajili ya kufanyia presentetion ,au kufundishia haibagui computer yoyote
BEI NI 80,000/-
LOCATION BAGAMOYO
SIMU 0733283372
Machine ya dignosis kwa ajili ya magari inasaport bluetooth , unaweza kutumia kwenye SMART ,TABLET(ANDROID) AU COMPUTER (WINDOW) NI MPYA KABISA PIA KUNA BRAKE FLUID TESTER VYOTE KWA PAMOJA...
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinovyo jieleza nahitaji Frizer kubwa na ndogo,au ata friji ikiwa ndogo hamna shida .
kwa mwenye nayo naomba tukutane Pm
asante
Nyumba iko mkoa wa kagera ina Umeme na maji hadi ndani.. Ina Kiwanja kikubwa sana. One bedroom in self contain ilhali kingine ni bedroom ya kawaida. Ina kitchen, dining and living room. Ina...
Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es...
Nauza vitabu ya course ya udaktari
Kwa wale wanafunzi wa medical doctor
Vitabu hivi vitawapa sana madini
Niko dar es salaam
Contact 0657710078
Bei maelewano
App inakuwezesha kusoma PDF faili na pia ina nyenzo nyingi za PDF za bila malipo ambazo zinafanya kazi bila kutumia intaneti
Unaweza kufanya yafuatayo
Kupunguza ukubwa wa faili la PDF (Compress...
Nahitaji msaada wa nyavu za uvuvi anaejua chimbo la nyavu Kariakoo msaada wake unahitajika,nahitaji location ya maduka yalipo
Shazunguka sana naona natokea nilipoanzia mara maduka ya nguo mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.