Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ukiitiwa Fursa Ujue wewe ni Fursa. Je umewahi kuitiwa Fursa?Je umewahi kujiuliza kama ni fursa kweli kwa nini haitumii mwenyewe?Je umekuwa mtu wa wasi kila mara unapoona fursa na kuhisi kuwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Horse na tanker yake vinauzwa. Horse ni Scania R400 Namba DLG Bei yake ni Mil. 86. Nicheki 0678275619
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Habari, Natafuta biashara zinazohitaji kukua iwe katika kutoa huduma au kuuza bidhaa. Wasifu wangu; Uzoefu wa miaka 5 katika usimamizi na kuweka mikakati ya ukuaji biashara "Strategies for...
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Habar wakuu, Kama bango linavyojieleza hapo juu, nina kilo kama mia mbili za mchicha wa Kishwahili. Je, wapi naweza kuuza kwa jumla? Namba yangu ni 0712505049 nipo kahama Tanzania
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu..Natumaini wote mmeamka salama. Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka hapo juu sisi ni wauzaji wa magari aina zote yaliyotumika japan na yaliyotumika hapa bongo, ofisi zetu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nahitaji option ya bei rahisi, Hivyo nategemea option itakuwa ni meli, kama kuna option nyingine tujuzane. Option ya ndege ni $60 as per supplier huko China, hiyo nimeikataa. Details za mzigo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wakuu kwa yoyote mzoefu wa kariakoo anasidie wapi naweza pata bidhaa hii. Hupatikana katika maduka ya kiharabu msaada wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wenye pesa zilizowahi kutumika kwenye mzunguko kama senti 1, senti 5, senti 10, senti 50, shilingi 1,5 ya noti, 10 ya noti, 20 na kuendelea. Nahitaji kukusanya kwa ajili ya wanangu na wajukuu...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Sim bado mpya kabisa Haijatumika hata chembe Ni dual Line moja tigo, nyingine yoyote Ipo Manzese Tip top Price 70 Internet yake ni 4G Sorry jamani ni A24 heading imenishinda ku edit
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nahitaji frame kwa ajili ya nguo za kike bajeti 150,000-200,000 maeneo ya Ubungo Riverside, Mwenge au Makumbusho iwe inatizama barabarani isiwe ndani wala ubavuni tuwasiliane...
1 Reactions
3 Replies
845 Views
ZILISHAUZWA
1 Reactions
5 Replies
711 Views
Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iphone Xs Max Double line Gb 256G[emoji3541] True tone [emoji736] Face ID [emoji777] No dent No scratch [emoji626] Dar es salaam Tsh 830,000/= [emoji3513] 0784125895
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Najua kuna macopy mengi ya kichina ya iphone na mengi nayajua vizur tuu mm naulizia copy ya iphone ambayo ipo km iphone hadi mfumo wa ios inayo na siyo android yaani kila kitu ifanane na iphone km...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
subaru legacy price : 7m location: DSM
0 Reactions
7 Replies
781 Views
Tecno Spark 5 Inauzwa Condition: Used/ looking new Ram 2GB Rom 32GB Front Camera 8MP Rear Camera 13MP Battery 5000 mAh Bei 230,000 Mawasiliano 0768776716
1 Reactions
2 Replies
641 Views
ITEL TV DOUBLE GLASS 32 INCH INAUZWA Hali yake: Mpya Screen Size 32 2 HDMI Port 2 USB Port VGA Port AV COAX Port RF Port Earphones jack Bei 280,000 Mawasiliano: 0768776716
1 Reactions
1 Replies
795 Views
Eneo la kujenga kituo cha mafuta, hotel au Ukumbi wa Starehe linauzwa. Location: Kahama Upana: Miter 70 Urefu Miter 100 Sawa na Square miter 7,000 Bei ya kuuza Mil.125 Tsh. Eneo linayo number ya...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Nahitaji magunia ya katani mengi yapatayo pieces 100,000, mwenye nayo au anayejua yalipo anitumie inbox
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Infinix S5 Pro Ram 4, Storage 64, Bettry 1000 (Good condition) Bei 270,000 | Mbagala Cont: 0628674204
1 Reactions
1 Replies
440 Views
Back
Top Bottom