Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele...
Nawasalimu,kampuni yetu inatoa huduma za uwekaji wa umeme majumbani na viwandani kwa ubora wa hali ya juu,tunafanya kazi za sizi zote,tunauza vifaa vya umeme original,pia tunachora michoro ya...
Kuna Itel tatu, moja ni smartphone ya laini mbili na mbili ni simu ndongo za laini tatu kila moja, pia kuna Tecno ina laini tatu.
Simu ndogo bei ni Tsh15,000/= kila moja na Smartphone bei ni...
Habari Wazee,
Mimi ni mmiliki halali wa kiwanja chenye boma ambalo halijaisha bado. Nimeamua kukiuza kutokana na changamoto mbili tatu ninazopitia.
Kiwanja kipo Mkoani Mwanza( Buhongwa) na...
Wasalaam wandugu, toka nimalize chuo mwaka jana , niko tu natanga tanga, na kibachela changu cha education history and geography, tafuta mishe wapi, kwakuwa hii ni jamii forum naamini, wana DODOMA...
Kuna mtu anahama yupo Kahama, maeneo ya Nyahanga anauza friji,
Godoro,
Jiko la gesi,
Viti plastiki,
Viti vya kiofisi,
Meza za kiofisi,
Meza za mbao,
Vyombo pamoja na mapazia.
Maongezi kwa mwenye...
Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
Habar Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema Tecno spack 7 inauzwa
Ina mwezi mmoja
Haina tatizo lolote
RAM 64 GB
ROM 4 GB
BEI 250000
LOCATION MTWARA
Model NO: SD-38
Sound[emoji445]soft professional audio smack
Accustic guitar
Www.SOUNDSOFT.COM
Lina2mia umeme
Kwa bei ya laki na sabini
Tsh. 170000
. MAP[emoji901] Lipo dar. Sinza. Kijiweni or...
Wakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
Specifications,
HORSE : R400
USAJILI: DLG
USAJILI WA TRELA :
NAMBA: AWN
LOCATION; IPO DAR ES SALAAM
UJAZO ; INA UWEZO WA KUBEBA LITA 40,000 ZA MAFUTA
INAFANYA KAZI VIZURI KABISA.
UNAPAKIA...
Kiwanja kinauzwa IGOMA
mtaa wa kilimo msikitini
SIZE YAKE NI HATUA 33*33
Kimepimwa (beacon zimewekwa)
Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote.
kutoka kiwanjani kwenda igoma senta...
Nimeona hapa JF watu wengi wakija na kusema wanahitaji wabia/wawekezaji kwa miradi au biashara anuai.Katika mialiko yao hio wengi walikuwa ama wakisema uje PM for details na unapofika PM unajikuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.