Kuna "kamgahawa" nafungua eneo ya gongo la mboto
Nina uhitaji wa chef, vigezo;
1. Awe kapitia mafunzo rasmi (vyeti)
2. Awe na experience isiyopungua miaka mitatu
3. (Na ya Msingi) Awe na maono...
Umechoka kutafuta nyumba bora inayoendana na pesa yako,
Umechoka kutafuta shamba lenye rutuba
Umechoka kutafuta nyumba nzuri ya kununua,
Hupati frame nzuri ya biashara hapa jijini mbeya
Ndugu...
Epuka garama za mafuta
Kwakutumia air fryer
Mzgo tunafunga from china
Kufika tz ni mwez mmoja
Air-fryer moja utalipia 45,000
Nauli ya meli ni inarange 20,000-30,000
Garama za usafir ni baada...
Haya wale wadada wa mjini hilo hapo gauni zuri la mtoko/sherehe, Hili gauni ni mkataba Og naliuza kwa bei ya njaa only 50k limetengenezwa kwa material bora.
Ziko pair 2
Mawasiliano 0654757823
Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 1.3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane...
Hello!
Kindly please [emoji1317] naomba kama mtu ana connection ya Land Saveyour aliesajiliwa na bodi ya masaveyor anisaidie mawasiliano yake.
My phone number 0692275216...
Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15
Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥
⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la...
Moja kati ya nyenzo zinazowanyanyua watu wengi na kuwa na utajiri basi ni miradi ya kupangisha nyumba(Real estate), nichukue nafasi hii kuwaonyesha michoro ya 3d ya nyumba za kupanga, zikiwa na...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
ok jamani wadau natangaza, kampuni ya quality motors ltd ambayo ndio walikuwa magent wa pikipiki za honda Tanzania, wamesimama kibiashara mwaka 2019. pikipiki za honda hazipatikani sokoni kwasasa...
Habari wapendwa.
Kama kuna mtu anafremu au kuna dalali anayofrem dar es salam maeneo yafuatayo MBEZI,KIMARA, MAGOMENI, MAKUMBUSHO
Anitafute tuweze kuwasiliana kwa number 0675128093
Hii ni bei ya belo za mitumba grade one.
Tunapatikana keko
Tunatuma Tanzania nzima(Tc apply)
Piga au tuma sms kwenda namba 0713278725
Grade2 pia ukihitaji zinapatikana
1:Mixer dress kg45 bei...
Habari. Wadau!
Tunauza masweta ya watoto na watu wazima kwa bei nafuu kuanzia Tsh.15000 mpaka 25000 inategemeana na saizi ya mteja wetu , tupo Daressalaam maeneo ya kinyerezi,mikoani tuna tuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.