Habari wana JF!
Kiwanja kina ukubwa wa mita 24 kwa 20 chenye nyumba kubwa iloishia kwenye linta inauzwa,bei ni Milioni 15 (Punguzo unaongea).
Nyumba ipo Bomba mbili,unashuka Mombasa(kabla...
Kiwanja kinauzwa kiko mita 200 kutoka kituo cha kona ya maroroni maji ya chai barabara kuu ya moshi arusha
ukubwa ni mita 30 kwa 15
kinaumiliki halali kiwanja kimezungukwa na maeneo...
NYUMBA inapatikana KITUNDA, nyantira
Km 3.5 kutoka nyerere road (old pugu)
Nyumba INA chumba kimoja (self), sebule na jiko.
Ina tiles, gypsums na slides windows.
Maji+Umeme (24/7)
Iko ndani ya...
Hii sio ya kukosa viwanja vipo mwembe mdogo Kigamboni vina ukubwa wa mita
Kuanzia 20×20 na kuendelea Bei ml 5 pia
Unasikilizwa mteja malipo asilimia 50
Kilicho baki ndani ya miezi mpaka 3 tucheki...
Habari
Nauza gari Nissan extrail for repair or spare.
Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004
Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA na Meya wa zamani wa Ubungo mh Bonny Jacob sasa amejikita kwenye ujasiriamali anauza mayai ya kisasa jumla na reja reja
Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa zake za...
Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa...
SOMESHA MTOTO MMOJA PROGRAMME:
Inapenda kuchukua fursa hii kuwaombawatanzania watusaidie kutupa taarifa ya mtu yeyote mbaye anahitaki msaada waufadhili wa elimu. Mpaka sasa, True Road Technologies...
Wakuu natumaini mko salama.
Kuna shule inauzwa ipo maeneo ya Kongowe Dar es salaam na ina mambo yafuatayo:-
-Ina vyumba 12 vya madarasa
-Ina jengo la utawala na maofisi
-Ina bwalo kubwa
-Ina...
Kama wewe ni mhitimu wa stashahada au shahada ya maswala ya mimea (plants) na upo tayari kufanya kazi kwa kujitolea tafadhali check with me.
0629109840
Females are also encouraged to apply!
OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital...
Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna...
Ofa ya kitabu Cha mafunzo ya teknolojia ya hydroponics fodder inaendelea Hadi mwisho wa mwezi huu (Octoba 2021)
Tshs. 4,500- soft copy...
Piga simu +255 655 533 543.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.