Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ni VIGUMU kuamini pasipo kudhubutu, thubutu kutumia mbolea hii ndo Sasa upande step number two ya kujifunza namna ya kuandaa mbolea ya asili yenye viwango vya com-fert.
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Viti viwil vya kunyolea pamoja na kabat zake zenye vioo,machine mbili za kunyolea,sterilizer,kitanda cha massage,beseni la kuoshea, viti viwil vya scrub na meza zake,facial steamer,beseni la...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari za majukumu wanajamvi. Kama uko interested na biashara ya kuprint t-shirts, kofia, vikombe, sahani n.k, njoo nikuuzie Heat press machine ambayo ni 4in1 pamoja na printer EPSON L810 kwa...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Bajaj Hii inauzwa. Bajaj inafanya kazi vizuri haina Shida yoyote. Haina tatizo lolote la kiufundi Haidaiwi. Engine nzima kabisa. Karibu Kijereshi, Ukague mzigo Bei: 5million mawasiliano...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
GIMASE CHICKENS Leo mzigo upo Jipatie mbegu bora ya kuku wa Kuroiler wenye asili ya India. Sifa zake: 1. Nirahisi kufugwa 2. Hawapatwi na magonjwa kirahisi 3. Wanaanza kutaga baada ya miezi 5 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge. Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga. Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF Poleni na majukumu Kutokana na uhitaji mkubwa wa mafindi na ombwe la uelewa na uzoefu hafifu wa mafundi ujenzi wengi kusindwa kukidhi soko la ujenzi na makazi, sasa kupitia uzi...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
iwahi, bei haina udalali. cc 1290. imenyooka call 0713096076 nikuunganishe kwa boss mkaongee zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kabati ambayo unaweza kuhamisha kwa haraka pia ina uwezo wa kuhifadhi nguo nyingi.Hii ni maalum kwa wale wenye chumba kimoja kwa sababu haichukui nafasi kubwa.ukihitaj unaletewa popote ulipo na...
3 Reactions
55 Replies
17K Views
Tunasafisha na kung'arisha masink ya choo pamoja na marumaru zenye uchafu sugu zilizofubaa Yaani kushindikana kabisa na kurudi kwenye Hali yake ya upya kwa kutumia dawa na vifaa maalum. Sinki la...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India. Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti: 1.Chocolate 2.Orange Ina...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza makabati ya nguo na viatu ya zipu Ni imara na zinapendezesha nyumba Yapo ya rangi mbalimbali Wateja wa dar unaletewa buree Unafungiwa pia buree Kwa wateja wa mkoani tunatuma kupitia mabasi...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Tunauza smartwatch M6 kwa bei ya jumla 15000/ kuanzia pc 3 [emoji672]Ni mpya kabisa [emoji672]Ina uwezo wa kusoma notification zote za kwenye simu mfano call reminder, whatsaap na instagram...
1 Reactions
0 Replies
912 Views
Ndugu mwana JF, Tunatoa huduma za Digital Printing kwa vitu mbalimbali kama ~Vipeperushi ~business cards ~labels ~ID cards, kadi za harusi ~na documents mbalimbali. Quality ya kazi ni nzuri...
2 Reactions
81 Replies
15K Views
Nauza viatu vizuri vyenye quality,napatikana Dar es Salaam na mikoani natuma kwa uaminifu mkubwa. Kwa mawasiliano zaidi 0678096545 WhatsApp/call
0 Reactions
69 Replies
4K Views
Wakuu,nina kavitz changu Old model kilipata ajali mwaka jana na kimekaa juu ya mawe miezi kama 7 hvi bila kuguswa baada ya kuumizwa na hiki kitoroli. Naomba kama kuna fundi magari wa ukweli...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Naomba kujua Bei ya mabati migongo midogo kutoka kiwandani. Rangi ninayopendelea Ni carrot
0 Reactions
16 Replies
37K Views
Used but in mint condition. Call 0734846322
1 Reactions
4 Replies
595 Views
TOYOTA CHASER GF-GX 100 ✓ Engine capacity : cc 1980 ✓ Full AC ✓ price: 3,100,000 Tshs (fixed) ✓ call/WhatsApp 0753285898
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom