Umeshawahi kutafuta kwa mda mrefu kwa mfano mashine ya kuosha magari au mashine za kukausha dagaa. Na mashine zingine zinazohitajika sana kwa mfano mashine ya kukamua alizeti na ile ya kukamua...
Wakuu hope nyote mmeamka salama Naomba YOYOTE anaefaham wapi nawezapata tent nzuri kwa ajili ya mgahawa na Bei yake Aniunganishe au Anipe contact za muuzaji mkoa wowote.
Nitashukur kwa...
Bei ninazo tja hapo chini zinatoka kwa wamiliki wenyewe me sijaongeza chochote kama mtu utahtaji Gari na unaona bei kubwa basi nitakukutanisha na mwenye gari ili muweze kuzungumza wawili na...
Salam wakuu....natafuta kiwanja maeneo ya Kigamboni kuanzia Kibugumo, Gezaulole na Mwongozo ila kiwe njiani na isiwe ndani ndani. I mean isizidi 2 km kutoka barabara kuu. Sio ndani.
Ukubwa SQM...
Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo:
1. Kuanzia heka 1 mpaka 5
2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo
3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au...
Jiko la deki 3 ,trey 9 linauzwa, kwa wenye nia ya kufungua bakery ama baking zozote ni jiko zuri sana ni jipya halijawahi kutumiwa, bei mil 5 ,tuwasiliane no.0777482509.karibuni ulimwengu wa...
Leo nilikuwa maeneo flani nikakutana na Rafiki angu akawa amenipa simu yake niandike namba yangu lakini nikasema sio mbaya niangalie property za simu ofcourse CAMERA yake ni kali sana...
Storage...
Wadau changamkieni kuna jamaa angu anahitaji mitungi 10 ya kuhifadhia Wine picha ipo kwa chini
Ukiipata nicheki 0718239997
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800.
CPU bado ipo katika hali nzuri,
niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya...
Specifications
24.1MP DX format CMOS sensor
ISO 100-6400 standard, up to 25600 expanded
FullHD 1080 60i/30p video recording, built-in stereo mic, mic jack and audio monitoring jack
3.2" inch, LCD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.