Habarini wanajamii forum,
Nakuja mbele zenu kijana wenu mdogo kuomba msaada.
Natafuta chumba cha kupanga chenye sebule na chumba kimoja tu maeneo ya mawasiliano, survey, sinza au makumbusho...
Wana JF habari.Ninaomba msaada wa kujulishwa panapouzwa korosho zilizobanguliwa.
Mara nyingi nikipita Chalinze, Pwani, ninaona kina mama wana nyungo na makapu yamesheheni korosho, wao huwauzia...
Habari wakuu, inahitajika gari aina ya Toyota IST iliyo katika hali nzuri na tayari kwa kazi.
🐒Iwe Dar au jirani na Dar
🐒Isiwe imerudiwa rangi au kufunguliwa engine
🐒BEI ISIZIDI 7M
🐒Nitapenda...
Pata simu ya huawei ya mezan
Inasapoti lain zote
Inauwezo wa kutuma na kupokea sms
Betri inakaa na chaji siku 7
Simu n mpya Full box
Price 70000
Location Mtaa agrey na likoma kariakoo...
Hp Scanjet Pro 2500 f1 inauzwa.
Specifications.
Scanner type - Flatbed, ADF.
Scan resolution - optical
Up to 600 dpi (color and mono, ADF); Up to 1200 dpi (color and mono, flatbed)
Duty...
Pata printa mpya Full box ya L3150
Ina print,scan na kutoa Copy
Ina print black pages 8100
Ina print color pages 6500
Inasapoti Wireless
Price 550000
Loation kariakoo agrey na likoma...
Hp laptop available
Specifications
Ram 8GB
Harddisk 500GB
Core i3 6th generation
Processor 2.3Ghz
Support HDMI
Battery Life 3Hours Minimum
Refubrished Laptop from USA
Location kariakoo agrey na...
Viwanja vipo viwili kila kimoja ukubwa wake ni mita 20 kwa 54.
Viwanja vyote vipo kibamba Luguruni ambapo ni kilomita 2.5 kutoka barabara ya lami na ofisi za wilaya ya ubungo.
Viwanja vyote kuna...
Ina 128 Gb , Android version 11, battery Ina 3520 mAh ya ndani kwa ndani , Ina fingerprint ,ram 4 Gb na Ina rangi nyeusi...
Haina tatizo lolote na mpya kabisa haijawahi kutumika imetoka turkey...
Helo
Wale wazee wa masafaa ya usikua ua jion!! Napata wap privat au IT zinazotoka dar kwenda mbeya,songea au njombe
Lengo langu nikapumzikie makambako
Nipeni connection au maelekezo tafadhar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.