Ballon
Engne 1g kavu (engine haina shida yoyote, njoo na mtaalam wako akusaidie kui zoom)
Full ac, full kipupwe
Bei mil 2 haipungui, Unapewa mafuta lita 20!
Ipo Dodoma, makao makuu ya nchi...
Kwa miaka zaidi ya 15 ambayo umekaa kwenye mfumo wa elimu umejifunza vitu vingi sana. Kwanza ulijifunza jinsi ya kusoma na kuandika, baadae ukajifunza vitu muhimu kwenye historia, jografia...
Jifunze kutengeneza sabuni ya kipande ndani ya nusu saa bila kutumia mashine. Jifunze sabuni zaidi ya 10 ikiwemo sabuni ya udongo,ya ukwaju, ya Asali, ya liwa, ya manjano, ya kahawa, ya habat...
Habarini za majukumu wakuu!,
Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo...
ninauza kiwanja,
kipo buswelu,Mwanza
njia ya kwenda kiseke karibu na nyumba za PPF
kimeshapimwa
huduma za kijamii zimefika(umeme na maji)
ukubwa Ni 47 kwa 35
Bei Ni 5mil
call:0767905919 for more...
Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo...
Habari za maisha wanaJF?
Mimi naomba msaada ni wapi naweza kupata nguo kali za wadada za mtumba kwa bei nafuu hapa Dar haswaa zile wanazopenda kuvaa wanachuo nimeattach picha ya mfano wa nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.