Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba kujua bei ya King’amuzi cha Azam tv na dish lake used
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hiki nikitabu muhimu sana kwangu kwa sasa, nakitafuta kwa udi na uvumba! Tafadhali awezaye kukipata anielekeze please.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Ni maandazi yaku oka ni Matam mnoo Location yombo Dovya Bei mfuko mmoja 1000 kwa pis 12 Epuka galama za mafuta Free of oil
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Location: Dar es salaam/Tanga Contact: 0625972007 Price: TZS 230,000 NOTE: Hii huuzwa na domain yake kabisa
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Gari imekaza. Gari inatembea mwendo mdundo Haina shida wala kelele Njoo na Mil 2 nikuachie sms 0625750755 gari za bei kitonga zipo. imebaki hii tu INAFUATA FORD XLT manual gear kwa milioni 7
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam wadau. Ninatafuta kiwanja lililopimwa kwenye mradi wa viwanja 20,000 eneo la Bunju au Mbweni. Ukubwa wa kiwanja kiwe si chini ya sqm 1,500. Kama unacho tafadhali tuwasiliane hapa au PM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Nahitaji hicho King'amuzi Cha Azam, Target yangu ni Used but kikiwa Kipya Ntatabasamu na kukuongezea pesa Nipo Dar es Salaam, Kiwe katika hali nzuri. Offer Yangu 70 elfu, ila naweza...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Nina gunia 30 za mahindi nataruta mteja Bei maelewano
0 Reactions
5 Replies
863 Views
Kama nilivyo anza hapo juu nahitaji mabati migongo mipana geji 30. Pia naomba ushauri nibati za kampuni gani ambazo rangi yake haipauki kwa wauzaji. Mimi nipo manyoni hivyo kama zinakuwa manyoni...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wanajamvi,nauza Nyumba ipo eneo husika hapo juu,kama unahitaji njoo inbox au hapa hapa,au kama wewe ni dalali upo maeneo ya Iringa mjini nicheki pia
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ambolight_travellers Travel Company For inquiry E-mail: info@ambolighttravellers.com +255688115564 +255754389004www.ambolighttravellers.com
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Simu ipo katika good conditions na inapatikana kwa Sh.80K tu... specifications zake ni kama ifuatavyo:- ✓Ram ya 2Gb ✓Internal storage ya 8Gb ✓Camera ya selfie 5 Megapixels, 8 Megapixels ✓Battery...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Hii Airpod Inakaa na chaji siku 7 mpaka siku 10 Powerbank yake inanguvu yaani unaweza kuchajia mpk simu(2000 mah) Ina mdundo balaa na nusu full base Ni touch Bei ni elfu 60(60,000 tshs)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Kwa yeyote anaehitaji/ unamfahamu anahitaji huduma ya kujifunza au kutengeneza Profesisional Business Pieces(Documents), CV-Curriculum Vitae, Proposal, Presentation & huduma za Digital...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Nahitaji Apartment Mwanza maeneo isamilo, Capri point, Ghana, Bwiru..maeneo karbu na mji Iwe na wifi, ulinzi wa kutosha, TV vyumba vitatu au viwili Ni sawa ,jiko nakaa siku 7 tu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ramani za kisasa za nyumba, finishing(rangi &gypsum ceiling) , furnitures za aina zote( kitchen cabnet, vitanda, milango, frem za milango meza ). Wasiliana nasi. 0689887556
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba mwenye kufahamu anisaidie ni wapi/Chimbo naweza pata jeans hizi au aina zinazoendana na hizi kwa bei ya JUMLA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei mil 10.5 Engine 1AZ engine volume: cc 1900 Full AC Full kipupwe kms run 97,000 hakuna tatizo lolote ndugu mteja Document zipo originale text/call 0625750755 Gari ipo Dsm inakusubiri wewe
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Ninauza kiwanja changu kipo Mapinga, umbali wa km 3.5 kutoka Mbweni mwisho na 2.5km kutoka kambi ya jeshi la anga. ukubwa ni sqm 617. Eneo limekuwa surveyed na nina document halali za umiliki...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiwanja kipo sehemu nzuri Kibaha - Kiluvya huduma zote zipo Maji, umeme bei ni 4,800,000/= maelewano yapo kwa ukubwa 20/20 mawasiliano zaidi 0717610089
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom