Habarini wote,
Laptop iko sokoni:
Toshiba Satelite C855
RAM:8gb
HD 200gb
Processor:Intel Pentium R -2.3ghz(2cpus)
Windows 10 Pro:64Bits
Bei ya kugombaniwa -200,000
Njoo kwa inbox tufanye biashara
Je, wewe ni Kijana Mtanzania ambaye anapenda kujifunza kuhusu WordPress Hosting na namna ambavyo unaweza kujiajiri kwa kutengeneza website katika Platform ya wordPress?
Kama Jibu ni ndiyo basi...
Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me...
Hello nauza viti classic vya ofisini, viko confortable na unaweza ku adjust urefu wake kama una meza ndefu vinakufaaa sana hivi . Bei ni 200,000 kiti kimoja (maongezi yapo). Ukihitaji nicheki...
OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital...
Refer to the heading wakuu
Kwa yeyote anajua link ya mahala hapa Tanzania nawezapata suppliers wa simu hasa iphone nataka kuwa nunua jumla nauza reja.
Maana nafanya hii biashara ila nannua kwa...
Wadau karibuni mpate huduma za kitaalam kuhusiana na ujenzi kwa ujumla, kuanzia ujenzi wa nyumba ndogo za kuishi mpaka kubwa (maghorofa) ya biashana na makazi, tunakupa design itakayoendana na...
Kitoday kinauzwa bei sawa na bure 730,000tsh.
[emoji736]Full registration .
[emoji736]Document zote zipo.
Ipo magomeni mikumi karibu kabisa na lango la jiji.
Kama upo serious tupigie 0744551655...
Nimetafuta gari bila mafanikio nimeona hizo akaunti bora tu niziuze au kuzikudisha connection za kupata gari zimekuwa ngumu sana hacha tukomae vijiweni na deiwaka tu
Akaunti zote ni mpya kabisa...
Premio DFP[emoji91][emoji91]
Make: toyota
model: premio
fuel: petrolum
transmition: auto
colour: black
seats: 5 seater
year: 2004
engine type: 1zz
cc: 1790
description:
-foglights
full options...
Naamini unajihusisha na ujasiriamali kwenye eneo lako. Katika hili sina budi nikupongeze, lakini ukiongeza na hili itakuongezea kipato. Jifunze mambo yafuatayo hapo ulipo ili uweze kuwahudumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.