Apartment zinapatikana KITUNDA.
Zipo apartment NNE ndani ya compound.
Apartment no. 1
Ina vyumba viwili (self-contained moja), jiko, sebule, store na public toilet.
Kodi kwa mwezi tzs 200,000/...
Habari nina biashara yangu mjini Kahama maeneo ya Mhongolo.
Nahusika na uuzaji wa bia za kampuni ya TBL pamoja na soda za kampuni ya CocaCola, pamoja na pombe zingine kama konyagi, Kvant n.k...
nahtaj pkpk used ya bei nafuu.kama unayo tuongee biashara.. ila uwe dar es Salaam tu. pkpk nayohtaj ni kati ya kinglion, fecon na sinoray tu basiii.. boksa na tvs sihtaji..mawasiliano nione inbox
Machine ya kukamua Juisi ya miwa inauzwa imetumika kwa miezi sita na list yake ipo.Ipo vingunguti stand barabara ya kwenda airport.
Bei ni Sh.800,000/= maongezi yapo bei inashuka haina tatizo...
Habari wadau.
Leo katika mwendelezo wa kuangazia masomo na mijadala ihusuyo nyumba na ujenzi,
Leo tutaangazia mahusiano ya mfumo wa umeme hatua 1 na lipu/plasta.
Yapo mahusiano makubwa kati ya...
Wadau,
Ninataka kununua sound proof kwa ajili ya studio nahitaji maelekezo kama kuna mdau humu ndani anauza kitu kama hiyo nitafurahi sana. Wengine wanaita acoustic material, aina yoyote...
Wataalamu nisaidieni nikitaka kujenga ukumbi sound proof ambamo hata upige yowe vipi Sauti isitoke nje nitumie material gani na je hizo material zinapatikana Tanzania na zinapatikana wapi ni za...
Habari wakuu wale wazee wa maofisini ambao kila gazeti lazima mnunue, usilimbikize gazeti ulizosoma ofisini, ninanunua Gazeti used kwa kilo moja shilingi elfu moja 1000/TZ SH.
Hata kama una kilo...
Habari wana jukwaa,
Hii ni Mara ya Tatu naleta threads yangu ya TANGAZO la biashara
Cha kushangaza kila nikiweka TANGAZO wanafuta
Naomba kujua
Hii ni biashara haramu?
Nini nimekiuka kwenye hili...
ANC ASSOCIATES is a Certified Public Accountants in Public Practice Firm registered by the National Board of Accountants and Auditors of Tanzania (NBAA) as Audit and Accounting firm and issued...
Viwanja KIBAHA - PANGANI - Lumumba Street.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo kilomita chache kutoka Loliondo Stand na kwa njia nyingine waweza pitia Kibamba Shule.
-Ni sehemu nzuri...
Habarini, nauza fremu kubwa, nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea mwisho opposite na stand ya daladala tsh 12.5 Milioni.
Sifa zake:
Imelipiwa kodi ya mwaka mmoja hadi September 2022.
Kwa bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.