Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Photo from vegrab.co.tz Mh: Mama Getrude Mongella, Rais wa kwanza wa umoja wa bunge la Africa, na balozi wa india in 1990s,Mwenyekiti UWT Mkoa wa Dar es salaam, Taswe.or.tz, vegrab.co.tz na wadau...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Je unategemea kuwa na Harusi au Send-Off hivi karibuni? Je unajiuliza ni wapi utapata huduma bora ya usafiri wa harusi yako? Jibu ni moja tu @magariyakukodi_carrental Wasiliana nasi sasa...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
NEWLY CONDITION [emoji91] HP SPECTRE SLIM PC [emoji3167]‍[emoji335] •6th Generation •Super super slim •Portable Machine •Display size 13.3 Inches •Ultra High Definition(UHD) 1080p Resolution...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Habari wakuu, Nina ndugu yangu anatafuta gari ya Kuanzia maisha walau. Gari anazopendekeza ni cresta, corolla, starlet, gx 100. Iwe kwenye hali nzuri tu na inayotembea. Ziwe engine ndogo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahitaji gari nzima ya kuzungukia hapa mjini, mwenye nayo anaweza kunisaidia kwa 6 million. Nipo Dar
2 Reactions
1 Replies
974 Views
Hello habari, Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR. Na utaratibu mwingine kama upo. Asante. Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wenye utaalamu na mambo ya Gemstones Hii ni kazi au ni crystal stone za kawaida? 0692275216
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini, nauza fremu kubwa nzuri ya biashara ipo Tabata Segerea opposite na stand tsh milioni 12.5. Sifa zake: *Fremu imelipiwa kodi ya mwaka mmoja Kwa bei hiyo unapata mzigo wa kutosha wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF. Ninatafuta duka linalouza perfumes za ndan ya nyumba na chooni. Nahitaji zile ambazo nadhan zinatumia kama batteries hivi. Kila baada ya muda fulani ina release perfumes. Hizi huwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Dell Latitude d610. Hard disk 320GB Duo core. KWANINI NAIUZA?: a)- haiwaki tatizo linaweza likawa ni RAM ( Inatumia RAM DDR2) b)-sina adapter yake. (Sijaipeleka kwa fundi kuifungua...
0 Reactions
4 Replies
560 Views
Ina vyumba 3 kimojawapo ni self,public toilet,jiko,dining room,sebule.Hati ipo,uwanja uliobaki unaweza kujenga nyumba nyingine kama hii. Bei 22m Maongezi zaidi au kuja kuiona wasiliana nami kwa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu anyone anaedeal na Gypsum stones ya Itigi Singida nitashukuru nataka kujua mawili matatu kutoka huko.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari.. Nahitaji mbuzi majike , wawili kwa ajili ya kufuga Location: Nipo Kimara, Cont: 0716 473605
0 Reactions
8 Replies
920 Views
Urgent pls Nimejikusanya na kupata chenji kidogo, sitataja kiasi lakini haipungui tsh. 3 milioni. Naomba mniunganishe na dalali au site zenye gari used za bei rahisi nahitaji kausafiri msimu wa...
1 Reactions
3 Replies
878 Views
vipi wazee mwenye nayo naweza pata ist namba D offer yang 6000000 namba C offer yngu 5500000 cc 1200 &1300 nipo dsm 0768621981
2 Reactions
6 Replies
913 Views
Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kama nilivyojieleza hapo juu mwenye kuuza hizo pampu naomba anicheki tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Naomba kuuliza Kama Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe, natokea lushoto tanga, habar
1 Reactions
1 Replies
917 Views
Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo)...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom