Habari!!
Kiwanja kinauzwa kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha afya cha kigamboni kimebaki kimoja
mitaa 35 kwa 35 bei ni million 4.5 (4,500,000)
kutoka ferr mpk kona ya chuo ni km 22...
NAHITAJI NAME TAG
Natumai ni wazima wa Afya, kwa wagonjwa Allah awape uzima.
Ndugu zanguni nina shida kubwa sana , nahitaji kununua "Name Tag"
Yoyote anaweza kunisaidia wapi nitapata naomba...
Habari wanajukwaa!
Kama kichwa kinavyojieleza.niko mwanza nahitaji creti zikiwa na chupa zake tupu Kati ya 150-200.
Ofa tutaongea Mana biashara ni maelewano
Chumba Choo ndani (Masta) na Sebule.
Maji ya dawasa/bomba, Umeme luku watatu.
Mahali: Mbezibeach Makonde
Kodi ya Mwezi: Tshs 100,000
Maelezo Zaidi: 0716442950
Our company was founded in January, 2019 on the principle of warm, friendly, and efficient service. Our staff knows how to get the job done, and we often exceed the expectations of our clients. We...
Natafuta gari kati ya aina ya corola (toleo lolote zile old model), toyota duet, carina old model, vitz zile za zamani au aina yoyote ile namba A, B au C itakayokua ya bei rahisi (3-2 mil), kwa...
Habari za asubuhi wadau,
Natumai nyinyi ni wazima nna mdogo wangu hapa yupo interested sana kuwa chef ila changamoto kubwa ni wapi pa kuanzia; matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwaio...
Karibu ujipatie kaunda suit na senator suit kwa bei rahisi kabisa kutoka kwangu fundi wako ENSETH TAILORING.(Bei ni Elf 55)kwa kitambaa super no 1 na 35 kwa namba 2.karibu sana na natuma mikoa...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 7 kwa kila eka. Umeme upo...
Habari wadau, nna 6.5M ila nahitaji gari mpya within 6-12 months niwe nimekamilisha mkopo kama kuna mtu anafahamu napoweza kupata hii huduma msaada tafadhali!
NB:Nahitaji IST specifically for...
Leo nna mzigo mwingine... Huu unaitwa MSR X6 Bluetooth Deftun.
Huu unausika na kutengeneza Door Lock zenye high security zinazotumia smart credit card [emoji388] Kama za Bank kufugulia milango...
Habari za asubuhi waungwana;
Kama tunavyofahamu changamoto ya ajira ni dhahiri kwamba ipo na kwamba hali ya uchumi bado ni tete na fursa zinaendelewa kuwa adimu.Hata hivyo tusife moyo kwani maisha...
Subject:Website Design and Hosting Proposal
About Us
TZHSOSTS.COM offers digital marketing services which include website,social media,email and erp systems for management of small and medium...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.